Nilizopata muda huu kumhusu Mfanyabiashara katili Soko la Kawe Bwana Cherehani ni kwamba ameshakamatwa

Nilizopata muda huu kumhusu Mfanyabiashara katili Soko la Kawe Bwana Cherehani ni kwamba ameshakamatwa

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Nianze kutoa Shukran zangu nyingi kwa Uongozi mzima wa Mtandao huu mkubwa wa JamiiForums hasa Kwake Mwanzilishi Maxence Melo

Pili nitoe Shukran zangu nyingi sana kwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania kupitia kwa IGP Wambura kwa Utendaji na Ushirikiano wake wa Kutukuka uliozaa Matunda.

Tatu nimshukuru sana RPC wa Dar es Salaam ACP Muliro, OCD wa Kinondoni, Police wa Oysterbay na Central na Mkuu wa Police Kawe kwa Ushirikiano wenu mkubwa.

Mwisho nijishukuru Mwenyewe Cognizant ( alias ) Adorable Angel kama Mwananchi wa Kawaida tu na Raia Mwema kuwa wa Kwanza Kuliibua hili kwa Watanzania na Mamlaka ili Mtuhumiwa akamatwe, Haki ipatikane na Taifa liwe na Watu wenye Maadili na kufuata Misingi ya Kisheria.

Ni kwamba taarifa za uhakika ambazo Cognizant nimetaarifiwa muda huu huu kutoka kwa Mmoja wa Viongozi wa Soko la Kawe ( namhifadhi ) na Msiri ( Confidant ) wake Mmoja Soko la Kawe ( namhifadhi ) ni kwamba Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani aliyemjeruhi vibaya Mgoni wake kwa Kumkata Sikio kwa Wembe Mkali na Kukata kwa Panga Kali Kidole chake cha Katikati na pia Kumkata na Wembe kidogo Mkewe Shingoni amekamatwa Mbagala katika Nyumba ya Baba yake akiwa katika Mipango ya Kutaka Kutorokea mbali zaidi.

Tafadhali Police wa Oysterbay au Central mlio na huyu Mtuhumiwa Mfanyabiashara Bwana Cherehani mwambieni awaonyesheni alipo Mdogo wake aitwae Mpele na Watu Wengine Watatu zaidi aliokuwa nao Nyumbani Kwake ( alikopanga ) ambako alishirikiana nao Kufanya huo Ukatili mkubwa na Usiovumilika.

Mkimaliza hakikisheni pia ni wapi Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani alivizika au alivitupa Viongo vya Mgoni wake alivyovikata Sikio na Kidole ambavyo vyote baada ya Kunikataa aliviweka katika Kitambaa ( Handkerchief ) na akawa anatamba navyo Soko la Kawe kwa Marafiki zake na Wafanyabiashara wenzake akiwaonyesha huku akifurahia na kusema kuwa amemkomesha Mgoni wake.

Na hakikisheni pia mnamuuliza je, Yeye Bingwa wa Kutembea na Wake za Watu Soko la Kawe mwanzoni mwaka huu alivyokamatwa Ugoni na Mke wa Mtu aliyejuruhiwa na kama Yeye alivyomjeruhi huyu Mgoni wake? Akibisha hili nendeni Ofisi ya Kata Kawe Mzimuni kuna Mkubwa Mmoja hapo alishuhudia na Yeye ndiyo alilimaliza Kiustaarabu ambapo alilipishwa Faini na Maisha kuendelea.

Na muulizeni kama Yeye alivyoshikwa huo Ugoni alilipa / alilipishwa Faini ilikuwaje Yeye huyu Mgoni wake Mfanyabiashara Mwenzake wa Mitumba Soko la Kawe Bwana Muba aliposema atampa Uwanja wake na Shilingi Laki Tatu alikataa huku akimjibu kwa Dharau na Jeuri kuwa hana shida ya Viwanja na Hela kwani anavyo vingi na ana Pesa nyingi?

Mwisho mkiwa mnamfanyia Interrogation yenu kama Police muulizeni Mfanyabiashara Bwana Cherehani kuwa kama kweli hakudhamiria kufanya huo Ukatili mkubwa na Usiovumilika ni kwanini aliandaa kabisa Dawa aina ya Spirit, Viwembe na Panga Dogo Lililonolewa vizuri ambavyo vyote alivitumia akishirikiana na huyo Mdogo wake Mpele na Watu Wengine Watatu Kumjeruhi vibaya Mgoni wake?

Asanteni nyote kwa Ushirikiano wenu.

Cc: MamaSamia2025
 
Sijaona kosa la cherehani
Cherehani hana hatia hata robo kilo. Mimi nisingeweza kumtetea mtu mwenye dharau hadi kutembea na mke wa mtu. Yani yeye ndiye anajua sana kuchakata mke wa mwenzie?

Hata kama jamaa hakumkuta mke ni bikra, ndiyo ujidai mwamba kutongoza na kumchukua mkewe? Huo ni ujinga uliopitiliza. Kwanza kumkata masikio alimuumiza sana.

Angetumia kajirisasi kadogo tu kumlenga kichwani ili apumzike kwa amani.
 
Mkimaliza hakikisheni pia ni wapi Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani alivizika au alivitupa Viongo vya Mgoni wake alivyovikata Sikio na Kidole ambavyo vyote baada ya Kunikataa aliviweka katika Kitambaa ( Handkerchief ) na akawa anatamba navyo Soko la Kawe kwa Marafiki zake na Wafanyabiashara wenzake akiwaonyesha huku akifurahia na kusema kuwa amemkomesha Mgoni wake
 
Sijaona kosa la cherehani
Kumbe Tanzania Siku hizi ina Sheria inazoruhusu Watu ambao Wake zao Wanawasaliti wakikutana na Wagoni wao Wawajeruhi vibaya na Kikatili kwa kuwakata Masikio na Vidole?

Sasa kama hujaona Kosa la Mfanyabiashara Bwana Cherehani unadhani Police Tanzania ( tena kutoka Oysterbay na baadae wa Central ) kwanini ndani ya Siku Tatu nzima baada ya Mimi Kuliibua hili hapa JamiiForums wamehangaika nalo mpaka kufikia Kumkamata hivi?

Huna Akili.
 
Kwa ukatili alioufanya wa kuvunja ndoa ya watu huyo unaemtetea alipaswa awe kaburini.
 
Akili za kupenda chini za Bwana Charehani zimemponza sasa ataishi kama shetani.

Asante sana cognizant na Jeshi la Polisi.

Kumbe mambo yanawezekana wananchi wakiamua.

Sasa ilishindikana vipi enzi zile za wasiojulikana wakatamba sana?
 
Mke anaibiwa kwani amekuwa bidhaa? Ni mtu mwenye akili zake na fahamu.

Nyie ndio wenye akili kama za Cherehani mnadhani wanawake ni wajinga
Hivi rasta umefugia kwapani au kiunoni?Mbona na weye umejinu isha?Umekatwa sikio?😂😂😂😂
 
Tuna pinga ukatili hayo ni mambo ya kijima.

Mke wako kama humtunzi vizuri ametongozwa akagongwa nje sasa hasira unampelekea nani?
Sasa weye jidai borodinda halafu ukutane na mtu mpole kama mimi.Utato.mba moto siku nne mfululizo.
 
Bahati mbaya ndio aina ya raia waliojaa.

Kitendo cha cherehani na watu wengine wanaowaza kama yeye ni ushahidi tosha kuwa watz wengi akili ziko kwenye viungo vya uchi kuliko mambo mengine ya maana
Subiri ukatwe na weye ndiyo muwe na heshima.Hata kama mumewe hamkazi vema weye unapata haki wapi ya kutongoza na kutembea na mke wa mtu?Mtakatwa sana.
 
Back
Top Bottom