- Thread starter
- #61
Safi sana Mkuu kwa Maelezo yako kwani hata Mimi niliwaeleza hivyo hivyo ila tatizo hivi sasa humu Mitandaoni tuna Wapumbavu na Wahemukaji wengi kuliko Watu Critical and Rational Thinkers na ndiyo ninaopata nao taabu mpaka unaona sometimes tunajibizana / najibizana nao Vikali.Nipe namba za mkeo nimle alaf unikate skio uone unapoenda kuishia mwanzo mwamba alikua na haki ila ukishavunja sheria huna tena haki lazima ushughulikiwe
Kabla ya Tukio kwa 100% Haki ilikuwa kwa Mfanyabiashara Bwana Cherehani ila kutokana na Upumbavu wake, kupenda Sifa za Kijinga, Kujivunia Ushirikina wake huku akisapotiwa na Marafiki / Chawa wake akaamua Kuchukua Sheria mkononi na Kumjeruhi Kikatili hivyo huyo Mgoni wake kupelekea sasa Kukamatwa na huenda akaishia pabaya kuliko alivyotegemea na Kuipoteza kabisa hiyo Haki yake Kisheria.