Hamna kesi hapo. Akidhaminiwa imeisha hiyo. Kesi yenyewe shambulio? Labda ingekua mauaji hapo sawa. Jamaa yako alokatwa masikio atarudi hapahapa kulalamikaNchi hii wanaume ni wachache sana wengi ni wavaa suruali tu.
Wasichojua ni kuwa wanawachukulia wanawake kama viumbe dhaifu kinyume kabisa. Cherehani alifanya unyama huo alijiona mwanaume kumbe ni ujinga tu.
Yeye kama anapendwa na wanamke iweje mke akatombwe nje? Madhaifu yako unataka kuonesha uko strong kwa kudhuru watu? Sasa tuone kama atatoboa.