Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kosa moja halihalalishi kosa lingine.Yeye mwenyewe cherehani ametembea na wake za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa moja halihalalishi kosa lingine.Yeye mwenyewe cherehani ametembea na wake za watu
Kupanga ni kuchagua , mkeo mmekutana mkiwa watu wazima , chances zipo kuwa x wake bado anadukua mzigo , na wewe kwa wakati huo u aonekana kama ndo uliingilia mahusiano yao.Mkuu mbona kama unamtwtea mgoni zaidi? Au ni wewe?
Yaani umkule mtu wangu nikuache salama?
SIona kosa kubwa la huyu bwana
Inawezekana ana udugu na aliyekatwa masikio - kaka, mjomba au baba mdogo.Sasa mtani mbona povu jingi?
MmmmmHHH!! Hapo kwenye red panafikirisha sana!! KUMBE NI YEYE MLETA UZI.Mkimaliza hakikisheni pia ni wapi Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani alivizika au alivitupa Viongo vya Mgoni wake alivyovikata Sikio na Kidole ambavyo vyote baada ya Kunikata aliviweka katika Kitambaa ( Handkerchief ) na akawa anatamba navyo Soko la Kawe kwa Marafiki zake na Wafanyabiashara wenzake akiwaonyesha huku akifurahia na kusema kuwa amemkomesha Mgoni wake
Halafu wewe ndio mleta mada kwa id nyingine. Uraiani anarudi maana hajaua. Ila masikio ndio byebyeHicho ndio kinamuuma cherehani hadi kspagawa
Huna unachojua mbuzi weye!😂😂😂😂Sasa kama hujui Neno Mental ni nini unaweza kweli Kushindana nami Kiakili na hata Kujenga Hoja?
Mental ni Offensive term likimaanisha Psychiatric Disorder na ungekuwa ni Tajiri wa Maarifa na Wordsmith wala usingejiaibisha Kuuliza / Kuniuliza hili Swali.
Pumbavu.