Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Hakika mkuu huyu popoma huwa analetaga ujinga sana humu jamviniBado watoto hawajielewi na hawajui mke ni nani.Ni viumbe nao.Tuwe nao ila kuna siku wataanzisha nyuzi za kujuta.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app