Nilizopata muda huu kumhusu Mfanyabiashara katili Soko la Kawe Bwana Cherehani ni kwamba ameshakamatwa

Mkuu mbona kama unamtwtea mgoni zaidi? Au ni wewe?

Yaani umkule mtu wangu nikuache salama?

SIona kosa kubwa la huyu bwana
Kupanga ni kuchagua , mkeo mmekutana mkiwa watu wazima , chances zipo kuwa x wake bado anadukua mzigo , na wewe kwa wakati huo u aonekana kama ndo uliingilia mahusiano yao.
Haijalishi commitment yako ya ndoa na mazagazaga ambayo unayabeba kama baba , wanawake wengi wanazichukulia hizo kama moja ya faida ya kumiliki papuchi.
Ndoa haikupi hatimiliki ya papuchi, wanaume tujatibu kujifunza hilo , la zivyo tutaozea jela ,
 
Nikikukuta na mke wangu nakufanya zaid ya hivyo vya bwana cherehani

Nitakupasua kwa wembe nitoe kokwa moja moja za pumbu

Halafu nakuja kumkata kata huyo mdudu vipande 7
 
Yote kwa yote jamaa alipewa stahiki zake, mtu anaitwa cherehani tena muuza mihogo ilibidi amuingize mhogo then ashone, hakuna watu wabishi kama wanaotembea na wake za watu atakwambia lazima nimle tu
 
Watu wametoka kwenye hoja yamebaki malumbano.

Hapa lazima tuangalie kosa ni wapi

1:Sheria zinasemaje mtu akifumaniwa

2:Sheria zinasemaje kwa mwenye mke

3:Sheria zinasemaje juu ya kuhukumu mwenyewe(mwenye mke)
 
MmmmmHHH!! Hapo kwenye red panafikirisha sana!! KUMBE NI YEYE MLETA UZI.
 
Huna unachojua mbuzi weye!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…