Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

Hongeraaaa sanaaaa,,, sas fanya mambo yafuatyo yanaweza kukusaidia
Tengeneza juice ya vitunguu maji kisha Tia asali mbichi vijiko 2 piga glasi moja jioni kila siku kabla ya kulala.
Jitahid kila siku asubuh unapiga maziwa frshi yenye karafuu,, Zoez hili fanya pia kila unapohisi kuhitaji sigala basi piga maziwa fresh yenye karafuu,, asubuh maziwa yenye karafuu,, jion piga juice ya vitunguu maji yenye asali piga wiki moja uje hapa
Asante mkuu nitafwata huu utaratibu
 
Na wengine wengi mliochangia iwe kwa negative au positive way nyote nawashukuru
 
Back
Top Bottom