Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

Ahsante sana dada kwa ushauri wako mzuri umenitia nguvu sana leo siku yangu kazini imekuwa mbaya sana siitamani tena hii siku
 
A
Amna ndoa mipango ya ndoa ilikuwepo ila afadhali hatujafika mbali sijui ingekuwaje aise
 
Unapitia hali ninayopitia mimi for now. Leo nimepika wali bila mafuta na chumvi nione kama ntakula. Lakini wapi. Vumillia tu. Ambaye hajui anaweza cheka.
Kabisa kaka ile time ananichana nilitamani niende chooni nikalie kilio cha mbwa mwizi we acheni tu
 
Watu wanakubeza humu ila mimi nakuelewa. Pole, muda ni tiba.
Ahsante sana wachache sana wenye kujua nachopitia
Maumivu ya mapenz hayaelzeki unaweza chukua maamuz magumu
 
Japo nimecheka na sio mazuri ila kuchezea future ya watu sio poa

Kwa hiyo ulitaka akupe mtoto tu ila kuoa aaah, ilipaswa wakati huo uoneshe nia ya kweli na kuwa serious naye


Lazima angekuzingatia tu, miaka miwili unazagamua halafu huoneshi nia ya kujenga kibanda lazima ashtuke


Anyway, tafuta utapata mwengine anaweza asiwe na sifa kama za aliyepita ila ndio hakuna namna zaidi ya kupenda unachopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…