pole ukiachwa achika ukiendelea kumlilia utageuka sex slave wake na hatakuwa anakuthamini. inauma but with time utakuwa sawa. just delete every memory uko nayo juu yakeMambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Njoo PM ft guyfygjhnnnjjhgh PMWe yamwage hapahapa
We Kweli anga zako zina hewa nyingine 😂🙌We yamwage hapahapa
1. Mlizaliwa pamoja?Mambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Tumia hata kifaransa mkuu 😂Njoo PM ft guyfygjhnnnjjhgh PM
Sijui anaremba kitu gani😆We yamwage hapahapa
We muache atasubiri sana huko pmSijui anaremba kitu gani😆
Mambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri..
Mpe mfano nilivyoyamwaga mimi pale juu😂We muache atasubiri sana huko pm
🤣🤣atakuwa amejioneaMpe mfano nilivyoyamwaga mimi pale juu😂
Mtoto wa watu atajinyongaWacha wateseke tu ,kupanga ni kuchagua.
Pm maana yake PAMBANA MWENYEWEWe muache atasubiri sana huko pm
Nimeipenda hiyo GPm maana yake PAMBANA MWENYEWE
Akae chonjo na mipaka shume hapa mjini kila kona ipo inasubiri mipira iliyokufa wamalizane nayo 😂😂😂😂😂😂😂😂NI mida wa kutokukurupuka maana unaweza ùkaishia mikononi mwa mipaka shume.
Ni muda mgumu lakini tumia dakika walau tano kila asubuhi na jioni kumwambia Mungu asante maana huyo hakuwa wa kwako.
Akupatie the rigjt choice.