pole ukiachwa achika ukiendelea kumlilia utageuka sex slave wake na hatakuwa anakuthamini. inauma but with time utakuwa sawa. just delete every memory uko nayo juu yakeMambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.