Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri.
pole ukiachwa achika ukiendelea kumlilia utageuka sex slave wake na hatakuwa anakuthamini. inauma but with time utakuwa sawa. just delete every memory uko nayo juu yake
 
Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri.
1. Mlizaliwa pamoja?
2. Mtu asiyekutaka tena unamtakia nini?
...............
Yaani mimi nikiachwa nafanya sherehe....kubeba furushi lisilokutaka ni big no kwangu....
Nampenda anipendaye
 
Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri..

NI mida wa kutokukurupuka maana unaweza ùkaishia mikononi mwa mipaka shume.
Ni muda mgumu lakini tumia dakika walau tano kila asubuhi na jioni kumwambia Mungu asante maana huyo hakuwa wa kwako.

Akupatie the rigjt choice.
 
Akae chonjo na mipaka shume hapa mjini kila kona ipo inasubiri mipira iliyokufa wamalizane nayo 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom