Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kupigwa "Pipe" (mboo)Kupigwa bomba ndo nini
Kwa uzoefu wako huwa unapigwa mara ngapi per week?Kupigwa "Pipe" (mboo)
Huoni mashoga wengi wamejazia?
Mkuu nitumie namba yako PM. Au kama una namba ya ofisi fanya hvyo naona watu wananivuruga tuNjoo PM nikuelekeze na nauza virutubisho vya kugain haraka sana,2 weeks na ni salama sabbu anatumia mpk mtoto kuanzia miaka 4.
65Una kilo ngapi
Mkuu ntakuroga kuwa makiniMukiwa kwenye ndoa ndoana akikuambia Sasa hataki mwanaume mnene utasemaje?
Je, ukiugua na kukonda atakwenda kumpa nyapu kidume mnene ili moyo wake ufurahi?
Umri wa huyo binti na namba yake ya WhatsApp naitaka.
Liwalo na liwe. Niacheni jamani huyu mtoto ashanimaliza nyie nishaurini nifenyeje ili ninenepe tuUkishanenepa atasema shoo zako mbovu sababu unakitambi, then atakuacha.
Hahahha kwaiyo akitokea mnenen zaidi yako wewe utakavyonenepa atampa papuchi sio?Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.
Back to the topic
Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana lkn vyote nimevishinda na sasa kimebaki kimoja tu kwamba yeye hapendi wanaume wembamba so amenipa masharti kwamba niongezeke mwili kidogo ili anikubali niwe mume wake.
Nakuja hapa kwenu kuwaomba mbinu hasa za kiafya za namna ya kuongeza mwili kwa muda mfupi
Nawasilisha
UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.
Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee
Mistari yako miwili ya mwisho naona kama hainuhusu saana wala si ya kuzingatia. Hata hivyo ahsante kwa mistari yako tanguliziTumia balanced diet
Pata muda wa kupumzika,
Tumia Viongeza hamu ya kula km zile product za kuchanganya kwenye chakula ama multi vitamin(vitamin B complex)
Tumia smoothies za kutengeneza mwenyewe(mf maziwa+embe+ndizi)
Ila la mwisho napenda nikuambie utakuja kulia na kusaga meno kwa huyo dada.
🤣🤣🤣🤣Watu ..Mkuu kama naona Mlango utakao ingilia ndio utakaotokea....
👣👣
Ahsante kwa ushauriNenda gym
Unapokuja kuomba ushauri maan yake umekubali kupata mawazo mbadala ya yale uliyonayo, kama uko tayari kufa ama uko tayari akuue kwa mapenzi hakuna haja ya kuongeza uzito.Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.
Back to the topic
Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana lkn vyote nimevishinda na sasa kimebaki kimoja tu kwamba yeye hapendi wanaume wembamba so amenipa masharti kwamba niongezeke mwili kidogo ili anikubali niwe mume wake.
Nakuja hapa kwenu kuwaomba mbinu hasa za kiafya za namna ya kuongeza mwili kwa muda mfupi
Nawasilisha
UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.
Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee
Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.