Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

hicho kipengele cha 'updates' kimefanya nisiandike lolote bali kukutakia kila la heri maana naona umejitoa mwanga

love is blind indeed, all the best!
 
Hataki uonekane kama dune la siafu

 
Tuma picha yake tumuone unaeza kukuta ndo waale saidia Jamii
ili unenepe kula sana mashudu kijana ...................
 
Weka picha kwanza, tuone unahitaji kiasi gani.... pengine skeleton zinamtisha anahofia afya yako usije kumfia![emoji16][emoji16][emoji16]

Mke alipaswa akupikie hivyo vinono ule unenepeane, ila jiridhishe hana nia OVU nawe.
 
Ukinenepa atakuambia kapunguze unene, kama mtu anakupenda hawezi kukupangia namna ya jinsi unavyoonekana, fika mahali utoke katika hilo gereza la milele unalotaka kuingia kwa mihemko ya mapenzi, labda hujui tu watu huact namna tofauti tofaut kwa watu tofauti, unaweza kuta huyo huyo ana mtu wake mwembamba kuliko wewe na yupo nae vizuri na hajamwambia hayo mambo, mapenzi si gharama.
 
Ilichukua mda gn kugain weight?
 
Ilichukua mda gn kugain weight?
Nilianza ona mabadiliko ndani ya miezi miwili. Ilikuwa napitisha naweza kupata breakfast nisile mchana nije kula usiku napo chakula cha ovyo.
Sasa kuna mazingira yamenifanya niishi na family, yani mwanangu, mdogo wangu na mdada wa kazi. Hii imenifanya niwe nakula milo yote mitatu na milo mingine in between.
Kila anayeniona anashangaa nimewezaje kugain weight haraka. And by the way kula ni kama mazoezi, kama wewe unakula chakula kidogo, ukianza kula portion inaenda inaongezeka day by day.😂
So mpaka sasa ni kama miez 6 hivi lakini mpaka nafika 67 kg ilinichukua kama miezi 3. Now nafanya fanya vimazoezi sitaki nije kuwa libonge.
Ila nimetoka kuvaa suruali size 32 navaa 34 na sifungi mkanda halidondoki.
 
Piga chips yai isikauke sana yaani rojorojo asubuhi mchana na jioni na pepsi baridi kila mlo. Pia gonga kitimoto roast yaani usibakishe hata mchuzi kunywa wote achana na dona, sijui mboga za majani zitakuchelewesha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. br bora wewe Mimi niliambiwa nitafute six packs
 
Nchi ngumu Sana hii,

Sina Cha kukushauri, ila nakupa pole TU.
 
Binafsi napenda body.

So sina Cha kusema ndugu mwenyekiti sorry mtoa mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…