Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Umesahau kumwambia na supu ya kongoro la nguruwe..ile ukipiga wiki tu unaoana nguo zikikataa moja mojaKula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!
Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!
Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!
Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Kuna bro wangu mmoja tunamwita bonge (ni mwembamba kinyama). Huyo hata umlishe nini hanenenipi yani utaona vishavu tu vimevimba kidogo ndio dalili kuwa ameridhika.Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!
Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!
Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!
Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Mkuu akiwa na stress atanenepa hata kama mlo kamili anautekeleza?Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!
Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!
Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!
Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Hahahaha wewe ukipata pesa, mie nikipata amani tu na penzi tamu na zito nanenepa balaa!Mkuu akiwa na stress atanenepa hata kama mlo kamili anautekeleza?
Binafsi nikipata pesa ndio kila kitu nanenepa
Hahahahahah kama huo ugonjwa basi wagonjwa ni wengi! Mie kitendo cha kusumbuliwa na mwanamke tu lazma ningechukua njia yangu nikaendelea na maisha! Kuna best yangu anasumbuliwa na not letting go character kama hio anataka kufosi tu wakati hapendwi!
I love a woman who makes it easy for me to be with her! Kuna elements kubwa za compatibility katika hio situation sio yale mambo ya ngoja nikufikirie [emoji13][emoji13][emoji13] am i mathematics to you? Au kunisumbua sumbua mara unidengulie ikitokea nimekaza ukaingia katika 18 jua ninakunyoosha after tasting the cookie straight away!
Hahahahah hii maisha haiko fair msee! Mwanamke anapokutesa wewe kuna wengine wanamkwepa [emoji851][emoji851][emoji851] maana washamkinai!
Inataka akili sana na ukilijua hilo utaona kwamba hamna sababu ya kuteseka na ma manzi kama hakutaki yupo anaekutaka we changamka tu utakutana nae.
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!
Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!
Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!
Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Kwa uzoefu wako huwa unapigwa mara ngapi per week?
Tulia wewe anenepeane awe kama bofloIla mwanamke akiwa hakupendi atakupa visababu vingiiii
Mkuu huyo mwanamke hakupendi tunajijua tukiwa hatumpendi mtu
Unaonekana mtu wa ku-give up mapema sana Extrovert.Hahahahahah kama huo ugonjwa basi wagonjwa ni wengi! Mie kitendo cha kusumbuliwa na mwanamke tu lazma ningechukua njia yangu nikaendelea na maisha! Kuna best yangu anasumbuliwa na not letting go character kama hio anataka kufosi tu wakati hapendwi!
I love a woman who makes it easy for me to be with her! Kuna elements kubwa za compatibility katika hio situation sio yale mambo ya ngoja nikufikirie πππ am i mathematics to you? Au kunisumbua sumbua mara unidengulie ikitokea nimekaza ukaingia katika 18 jua ninakunyoosha after tasting the cookie straight away!
Well mie ni mvumilivu kuliko neno lenyewe, i can endure for years ila kupitia huo muda you might have exposed yourself to me then kupitia mwenendo wako i might decide to call it quits kabla hata sijafikia mwisho. Sasa huwa nachagua kutopoteza muda mwingi!Unaonekana mtu wa ku-give up mapema sana Extrovert.
Hamna kitu kizuri kwenye hii dunia halafu kikapatikana kirahisi. If you don't enjoy chasing women inabidi wewe ubadilike. I mean uwe aina ya mwanaume ambaye %kubwa ya wanawake wangetamani wangekuwa na wewe.