DuuhKula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!
Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!
Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!
Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Siku akimwambia ufe kidogo utakufa?Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.
Back to the topic
Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana lakini vyote nimevishinda na sasa kimebaki kimoja tu kwamba yeye hapendi wanaume wembamba so amenipa masharti kwamba niongezeke mwili kidogo ili anikubali niwe mume wake.
Nakuja hapa kwenu kuwaomba mbinu hasa za kiafya za namna ya kuongeza mwili kwa muda mfupi
Nawasilisha
UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.
Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee.
Ameshasema hataki hizi storee za hapendwiUnene ni mwanzo wa magonjwa. Anataka akuue, hakupendi huyo. Usilazimishe mambo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16]kisukunukuMkuu, hata ahangaike nayo haya yote uliyo mshauri na akapata majibu chanya, ndoa haipo.
Na kama huyo jamaa ana mwili kama wa Polepole wa ccm hata alale na hivyo vyakula kitandani hanenepi ng'o.
Awaachie tu waoaji wamuoe huyo kisukunuku
NB hizi stori hatakiMapenzi gani ya masharti hayo? Shtuka boya ww hupendwi hapo unaforce tu [emoji3][emoji3]
Kabila gani huyo kisukunuku[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Acha aniue tu maana sio kwa kudata huku jamani
Shunie kausha muache amnyonye damu mpaka za uti wa mgongo[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Ila mwanamke akiwa hakupendi atakupa visababu vingiiii
Mkuu huyo mwanamke hakupendi tunajijua tukiwa hatumpendi mtu
Huyo demu anataka aringishie mashost zake kuwa bwana ake ana kitambi ujinga ujinga yaaniNimekumbuka kitu nimecheka sana.
Mimi sio mtaalam ila kwa uzoefu hapo OP ale vyakula vyenye sukari nyingi kama sodas, cakes kila siku. Ndani ya wiki 2 tu anapata mchumba wake.
View attachment 1767206
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Mistari yako miwili ya mwisho naona kama hainuhusu saana wala si ya kuzingatia. Hata hivyo ahsante kwa mistari yako tangulizi
Zaidi ya mbususu tamu mwanamke ana kipi cha ziada cha kumoffer mwanaume?[emoji1787][emoji16][emoji16]....hizi ni kauli za wanaumeWell mie ni mvumilivu kuliko neno lenyewe, i can endure for years ila kupitia huo muda you might have exposed yourself to me then kupitia mwenendo wako i might decide to call it quits kabla hata sijafikia mwisho. Sasa huwa nachagua kutopoteza muda mwingi!
There a lot of women out there some might like you straight away and some can make you feel like shiyt sababu tu unaonesha kuwataka tena kwa nia nzuri tu ya kujenga mahusiano imara nao! Kila mtu ana haki na hitaji la kupendwa right..Hawa ndio wengi huangalia looks, kazi au gari kama unalo then as long as najua ndio vitu unanipima navyo why should i wait to get wasted! Ndio hapa unalazimika unenepe ili ukubaliwe, umtoe out, umpe hela za matumizi hapo yote unatafta jibu la kuambiwa i love you too! Just that!? Hell Noh!
I always choose the ones who like me straight away kwa jinsi nilivyo! It saves alot of time and expenses! Hamna alie bora kuliko mwenziwe we all humans.
Hana hata mia mbovu [emoji848]Ukiona Ivo huna hela mdau
Haya maneno yako utakuja kuyakumbuka siku moja na utajiona fala sana, haya maneno kama yako basi unapotesea sana ndugu, mwanaume mwenye akili sawa sawa hawezi kuongea utumbo kama huu.UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.
Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee.
Acha kumdanganya mwenzio wengine hata wale nn hawanenepi!Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!
Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!
Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!
Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho