Daaaah nimejaribu kuvaa viatu vyako daaaaah aisee pole sana nimesoma hii post yako tangu Jana nalia tuuuRipoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.

Pole sana ndugu yangu, Mtegemee Allah aliyekuumba!na kwa uwezo wake insha Allahu taalaa utapona.

شمسه زوجة ابراهيم الغرير تقول :-
Shemsa mke wa Ibrahim al-ghariri anasema:-
لا يجوز لأحد أن يموت من السرطان بعد الآن إلا بإهمال منه .

Haifai kwa yeyote afe kwa maradhi ya Cancer baada ya sasa ispokua ni kwa uzembe wake.

(١) الخطوة الأولى :-
(1) khatua ya kwanza:-
وقف تناول للسكر ومشتقاته ، فبدون السكر في الجسم ستموت الخلايا السرطانية
Simamisha kutumia sukari na vinavyozalisha sukuri hiyo, kwani bila sukari mwilini bacteria wa cancer wanakufa.

(٢) الخطوة الثانية :-
(2) Khatua ya pili:-
مزج فاكهة الليمون كاملة مع كوب من الماء الساخن وشربه لمدة (1 - 3) أشهر أول شيء قبل تناولك لأي طعام كل صباح ومساء ، بإذن الله سيختفي السرطان من جسمك لأنه لا يستطيع أن يعيش في جو قلوي وقاعدي كالذي يوفره عصير الليمون الساخن ، وفقا لما ذكرته كلية ماريلاند للطب ، بإنه أفضل 1000 مرة من العلاج الكيميائي ..*
Changanya limao nzima na kikombe 1 cha maji ya moto na unywe kwa muda wa kuanzia mwezi (1-3) kiwe nikitu cha mwazo kabla ya chakula chochote asubuhi na jioni. Kwa uwezo wa Allah cancer itapotea mwilini mwako; kwani bacteria wake hawawezi kuvumilia ukakasi wa limao na maji machem kila siku.
Hii nikulingana na uchunguzi wa chuo cha Irelanda cha mambo ya u doctor. Kwamba tiba hiyo nibora mara 1000 kuliko tiba ya chemical.
(٣) الخطوة الثالثة بديلا للخطوة (٢)
(3) Khatua ya tatu mbadala wa ya (2)
وهي عبارة عن شرب 3 ملاعق من زيت جوز الهند العضوي ، صباحا ومساء وسيختفي السرطان من جسمك بإذن الله
Nayo inaelezea kua nikunywa vijiko 3 vya mafuta ya Nazi Asubuhi na jioni.
Itapotea cancer mwilini mwako kwa uwezo wa Allah. In shaa Allah
يمكنك إختيار أي من العلاجين (٢) أو (٣) مع تجنب السكر ..
Unaweza kuchagua njia moja wapo kati ya (2) au (3) pamoja nakujiepusha na kutumia sukuri.
[emoji295] أسمحوا للجميع من حولكم أن يعلم بهذه الخطوات.
Wapeni chansi wenzenu nao waweze kutambua khatua hizi za tiba ya Cancer.
فالدال على الخير كفاعله
Ajulishae jambo la kheri nikama alielifanya, ktk kupata ujira (thawabu) ujira (thawabu)[/QUOTE]Pole sana ndugu yangu, Mtegemee Allah aliyekuumba!na kwa uwezo wake insha Allahu taalaa utapona.
شمسه زوجة ابراهيم الغرير تقول :-
Shemsa mke wa Ibrahim al-ghariri anasema:-
لا يجوز لأحد أن يموت من السرطان بعد الآن إلا بإهمال منه .

Haifai kwa yeyote afe kwa maradhi ya Cancer baada ya sasa ispokua ni kwa uzembe wake.
(١) الخطوة الأولى :-
(1) khatua ya kwanza:-
وقف تناول للسكر ومشتقاته ، فبدون السكر في الجسم ستموت الخلايا السرطانية
Simamisha kutumia sukari na vinavyozalisha sukuri hiyo, kwani bila sukari mwilini bacteria wa cancer wanakufa.
(٢) الخطوة الثانية :-
(2) Khatua ya pili:-
مزج فاكهة الليمون كاملة مع كوب من الماء الساخن وشربه لمدة (1 - 3) أشهر أول شيء قبل تناولك لأي طعام كل صباح ومساء ، بإذن الله سيختفي السرطان من جسمك لأنه لا يستطيع أن يعيش في جو قلوي وقاعدي كالذي يوفره عصير الليمون الساخن ، وفقا لما ذكرته كلية ماريلاند للطب ، بإنه أفضل 1000 مرة من العلاج الكيميائي ..*
Changanya limao nzima na kikombe 1 cha maji ya moto na unywe kwa muda wa kuanzia mwezi (1-3) kiwe nikitu cha mwazo kabla ya chakula chochote asubuhi na jioni. Kwa uwezo wa Allah cancer itapotea mwilini mwako; kwani bacteria wake hawawezi kuvumilia ukakasi wa limao na maji machem kila siku.
Hii nikulingana na uchunguzi wa chuo cha Irelanda cha mambo ya u doctor. Kwamba tiba hiyo nibora mara 1000 kuliko tiba ya chemical.
(٣) الخطوة الثالثة بديلا للخطوة (٢)
(3) Khatua ya tatu mbadala wa ya (2)
وهي عبارة عن شرب 3 ملاعق من زيت جوز الهند العضوي ، صباحا ومساء وسيختفي السرطان من جسمك بإذن الله
Nayo inaelezea kua nikunywa vijiko 3 vya mafuta ya Nazi Asubuhi na jioni.
Itapotea cancer mwilini mwako kwa uwezo wa Allah. In shaa Allah
يمكنك إختيار أي من العلاجين (٢) أو (٣) مع تجنب السكر ..
Unaweza kuchagua njia moja wapo kati ya (2) au (3) pamoja nakujiepusha na kutumia sukuri.
[emoji295] أسمحوا للجميع من حولكم أن يعلم بهذه الخطوات.
Wapeni chansi wenzenu nao waweze kutambua khatua hizi za tiba ya Cancer.
فالدال على الخير كفاعله
Ajulishae jambo la kheri nikama alielifanya, ktk [quote uid=178096 name="folk" post=26598703]Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
mbona upo negative sana hujawahi pewa faraja maishani? kufa ni lazima hata madaktari wamemwambia atakufa ila anahitaji faraja yetu kwa sasawacha uongo na wewe muone kwanza
Jamani, ndo naona now eti. ThanksHeaven Sent and mshana Jr mje mtoe faraja huku.
Habari za siku best umzima lakini!Jamani, ndo naona now eti. Thanks
Magonjwa sio kazi ya Mungu. Baada ya Adamu na Hawa kuasi maagizo ya Mungu pale Edeni, ndipo shetani akapata mamlaka ya kutawala wa dunia hii. Biblia inasema kazi ya shetani ni kuua, kuchinja na kuharibu. Magonjwa ni kazi ya shetani. Mungu kwasababu alitupenda wanadamu hata baada ya kuasi, alimtuma Yesu Kristo ili kumuokoa mwanadamu kutoka kifungoni mwa shetani. Sasa kupitia Yesu Kristo, kuna afya njema na pia uzima wa milele.Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Mkuu Sasa ni wkat wa kupiga hta wenye Ngoma.tena kavu kavuRipoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
UgoroMkuu Sasa ni wkat wa kupiga hta wenye Ngoma.tena kavu kavu
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Mkuu Sasa ni wkat wa kupiga hta wenye Ngoma.tena kavu kavu