Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 2,021
- 2,462
Kuna suprise death ila sio kansa. Mimi mama yangu alikufa kwa hii kansa. Zilivyobaki wiki nne ikabidi watuandae kisaikolojia ikiwa ni pamoja na mgonjwa kwamba after four weeks atakufa. And zilipobakia siku saba alikata kauli exactly siku ya saba akafa. Huwa wana vipimo vyao ambavyo vinawapa majibu hayo. Japo huwa ni round figure inaweza kuzidi ama kupungua ila ni +-7Death is a surprise. Hakuna daktari anayeweza kujua kuwa utakufa lini. Mungu alivyo mkubwa, huyo aliyekwambia kuhusu miezi ya kufa kwako anaweza akafa kabla yako ( ukaenda kumzika ). Jipe moyo ndugu yangu. If death comes, take it with courage and confidence. Tambua tu kwamba "ikiwa Yesu hajarudi, wote tulala kaburini tukiisubiria asubuhi ya ufufuo". KIFO NI USINGIZI MTAMU USIOSUMBULIWA HATA NA NDOTO.
SOMA: HUTAKUFA UKIFUATA HAYA SOMA KITABU CHA THE POWER OF SUBCONSCIOUS MIND (DOWNLOAD SOMA). KWA KUANZIA IKATAE KANSA KWA MANENO SUBUHI MCHANA JIONI KILA SIKU UONE KAMA KANSA ITAKUWA NA WEWE TENA UNAPONA. PIA TAFUTA HABATI SODA CHANGANGANYA NA ASALI KULA KIDOGO KIDOGO KILA SIKU MAISHA YAKO YOTE HUTAKUFA KIRAHISI HIVYO. KATAA KANSA KWA MANENO HALI UKITUMIA HIVYO VITU...UKIAAMINI UTAKFA KWA KANSA KWELI UTAKUFA AMINI HUTAKUFA NA UIKATAAE KANSA KILA SIKU. USIPUUZE HAYA!Duh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;
Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it is..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.
Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi? Haumii kabisa,Trust me!
Death is painless ndugu.
Tangulia mkuu, tunakuja!
Candle in the wind.
Love you folk
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
SOMA: HUTAKUFA UKIFUATA HAYA SOMA KITABU CHA THE POWER OF SUBCONSCIOUS MIND (DOWNLOAD SOMA). KWA KUANZIA IKATAE KANSA KWA MANENO SUBUHI MCHANA JIONI KILA SIKU UONE KAMA KANSA ITAKUWA NA WEWE TENA UNAPONA. PIA TAFUTA HABATI SODA CHANGANGANYA NA ASALI KULA KIDOGO KIDOGO KILA SIKU MAISHA YAKO YOTE HUTAKUFA KIRAHISI HIVYO. KATAA KANSA KWA MANENO HALI UKITUMIA HIVYO VITU...UKIAAMINI UTAKFA KWA KANSA KWELI UTAKUFA AMINI HUTAKUFA NA UIKATAAE KANSA KILA SIKU. USIPUUZE HAYA!
Nilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.
Hapana sio kuumwa sana ndo kupelekekea kifo pengine ni ushuuda unaandaliwa juu yako itapita miaka na utasahau maneno ya daktarNilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.
Daktari hajakosea yy huwa anaaangalia probability ya ukuaji wa hiyo cancer mpaka muda gani itakuwa ni critical na amemuambia miezi 4 si kwamba ana uhakika kuwa atakufa ndani ya miezi minne bali ameangalia ukuaji wa cance r hiyo.Uyo dokta hakufaa kukwambia ivyo sijapenda hajui miiko......kila mtu atakufa najua ivyo ila ni siri kati ya mungu na wewe .....sasa iyo miezi4 ikifika kama hujafa.
Hajui miiko ya kazi sijapenda ila usife moyo mungu ndie ajuae kesho yako
naumia sana, pole sana ndugu yangu, pili nakuomba usizungumzie kifo just pray Mungu ni muweza wa yote, nmeanhalia thread uliyotuma link yaonyesha ni 2013, status yako ilikuaje mwaka huo, na mwaka huu ipoje, tazama wangapi wametangulia tangu ulipoisi wewe ndie unaefata, Pole sana, na Mungu akupe nguvu.Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Soma post yake vizuriDaktari hajakosea yy huwa anaaangalia probability ya ukuaji wa hiyo cancer mpaka muda gani itakuwa ni critical na amemuambia miezi 4 si kwamba ana uhakika kuwa atakufa ndani ya miezi minne bali ameangalia ukuaji wa cance r hiyo.
Pia miiko haijavunjwa kwa kuwa ameongea na mgonjwa direct na hajavujisha siri kwa watu wa nnje pia amemuambia ili kama jamaa ana uwezo awahi kuitibu .
Kingine ambacho haujafikiria ndugu ni kuwa hivi itakuwaje ukaenda kupima ukimwi halafu daktari asikuambie kuwa umeathirika akakuficha je atakuwa amefanya jambo jema?