Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
hii post umeniumiza kuliko post zote za jf nikisema nisome coment 5 lazima nilie yani mi nikijana nina 24 na ubabe wangu wote lakini naumia kiasi adi machozi lananitoka folk sijui ulipo my brother umeniumiza mno kaka! maamini mungu yuko karibu nawe
Kuna mdau ame-post hapo juu kaweka na baadhi ya details za mshkaji nimefuatilia kweli atakuwa ametutangulia.dogo alikuwa peace sana anaonekana.

Fuatilia tu ili usiendelee kuumia zaidi.Mungu amrehemu.
 
Unaleta udini sio aya tuambie dini ya kweli ni hipi
 
Naomba ushikilie adabu yako binti.
Wapi umeona picha ya mleta mada...[emoji53]
Kwa kumuita folk (marehemu), umepewa rukhsa na nani....[emoji45] [emoji45]
Ebu naomba ujiheshimu tafadhali, kikubwa tumia akili yako ya kuzaliwa na elimu yako ulioipata darasani na mtaani ili iweze kukuongoza vyema
 
Asante mkuu. Unajua kuna watu wana mapepo wakisikia mtu kafariki wanalilia kuona picha utafikiri ni maonyeshe. Huu jamaa Ushimen ni mtu mmoja mpumbavu sana. Sijui haya yote anayofanya anafanya kwa faida gani. Marehemu alipoanzisha hii thread angekuwa na nia ya kutoa info zake si angefanya hivyo? Watu wengine wamepitiliza kwa ujinga!
 
Haloo wacha ujinga wako! Unapowaambia watu uwatumie picha yake inbox unatuma nini? Unafanya ushenzi kama huu halafu ukiambiwa unaleta ujanja wa kima!
 
New #1,003
Sasa hapa kutuma hutaki,,pm zimeshasambaaa,,,si bora utume tu,,ni yaleyale,,watu wa pm ndo wa hapa
Mkuu, binafsi hakuna ninacho kijua kuhusu PM.
Na kama wapo unaowaita (walio sambaza) huko PM, basi nivyema ukawaomba wao kuliko kulalamika hapa.
 
Folk nae alisema ana miaka 28, Ehee Mungu baba jamani.
 
Mkuu, Wewe ndio unapaswa kuwa na akili timamu na kuacha kiherehere cha kujifanya msemaji wa familia na kusambaza picha ya folk huko PM, haipendezi na kwa vile hata yeye hakufanya hivi, heshimu haki yake ya usiri, ametupa mipaka ya kumfahamu tuliheshimu hili.
Punguza kimberembere mkuu.
 
Halafu wewe ndiye chanzo cha ujinga wa kuanika picha na utambulisho wa marehemu. Alipoanzisha hiyo thread angekuwa na nia ya kujitambulisha si angekuwa ameshafanya hivyo? Huyu rafiki yako ulikuwa unampenda kwa unafiki!
 
Ndio maana nimemkemea bila kupepesa macho. Hana adabu! Sijui limbukeni?
 
Asante Musundi!
 
Haloo wacha ujinga wako! Unapowaambia watu uwatumie picha yake inbox unatuma nini? Unafanya ushenzi kama huu halafu ukiambiwa unaleta ujanja wa kima!
Mpuuzi mkubwa wewe, kima mnyea mbali....
Umewahi kuniona huko panapoitwa PM....[emoji53] [emoji16] [emoji16]
Gad'dem maza fanta shuubbhhaaamittttt
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…