Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Maneno ya Hekima Sana
 
Ujinga ndiyo unakusumbua. Unakimbizana na habari za marehemu utafikiria umegundua dhahabu! Idiot!
Yaani Ushimen ana kiherehere kama cha anko Steve nyerere kwenye misiba ya wasanii wenzake kwa interest zake mwenyewe.
Mbaya zaidi anasambaza picha za folk huko PM. Mkuu kama wewe ulivyo hautaki details zako ziwe disclosed basi hata folk nae hakutaka info zake ziwe disclosed in public ukizingatia alikuwa kadhoofu sana kiafya.
Kutoka kwenye chanzo cha uhakika kabisa ninajua folk kashafariki ingetosha wewe kutangaza Hivyo ila kitendo cha kutembeza picha zake PM ni uhayawani usiovumilika. Usirudie tena folk najua hajafurahi na anakuchora tu huko mawinguni. Jiangalie!
 
Mwenyewe angependezwa utambulisho wake kuwekwa hapa? Na picha zake watu warushiane kama mahindi? Habu tujaribu kutumia ubongo jamani. Kwa nini wakati akiwa hai walijaribu kumdodosa atoe utambulisho wake akakataa. Na kama kuvumilia mwambie huyo aliyeanza kubwabwaja afikirie mara mbili!
 
Mkuu nadhani sasa mkubaliane kutokukubaliana kwa kuwa hatufurahii kuona malumbano haya, hata roho ya mwenzetu haifurahii, kama hatukufanya jitihada mwenye thread hata kumsaidia kwa wakati huo, haya maneno ya kulumbana naomba sana sana tuyaache, si busara! Tumtakie heri mwenzetu na tutafakari njia zetu.
 
Una point nzuri sana... Nashangaa hata baadhi ya watu wasioelewa dhima ya maelezo yako na kuanza kukutuhumu bila sababu. Mimi nilikuelewa toka mwanzo.
JF inazingatia zaidi usiri wa mtu kusambaza au kutoa picha ya mtu bila ridhaa yake ni kosa kulingana na laws and regulations za JF. Sasa hajamkose folk pekee kaukosea hata uongozi wa JF. Ushimen ukongwe wa JF sio kuwa na busara, kwanza ndio maana una mapengo mkuu. Ah ah ah ah ah
 
Halfu mkuu jamaa aliambiwa kiungwana kabisa. Akatoa matusi mazito! Sasa mtu anayejifanya hamnazo dawa yake na mimi najifanya hamnazo!
 
Lakini yule aliejiweka msemaji wa familia asiendelee kusambaza picha za bwana folk huko PM.
 
Halfu mkuu jamaa aliambiwa kiungwana kabisa. Akatoa matusi mazito! Sasa mtu anayejifanya hamnazo dawa yake na mimi najifanya hamnazo!
Umempa maneno yake vizuri sana. Watu wa aina yake sio wa kuwafumbia macho. Ingetosha kujua folk kafariki lakini yeye kaenda mbali hadi kutoa picha zake. Shame upon you Ushimen a big boy like a toy. Siku nyingine usirudie hii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…