Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
uko sahihi mkuu. Hata sasa hivi akitaka kubadili imani yake kwa dhati atapata muujiza. Binadamu tuna nguvu Kubwa ila wengi hatujui Tu.
Huyu mtu aliweka hapa uzi toka mwaka 2013 anaumwa na leo ni 2018 anasema atakufa baada ya miezi minne....amenishangaza sana ana sahau ni Mungu alimpa miaka hiyo mitano hadi sasa anaweza mpa miaka hata zaidi ya 30 mingine....
Tatizo lake huyu pamoja na kuambiwa na daktari bado yeye ana imani kubwa sana kwenye kifo kuliko kuishi lakini ana sahau angweza kufa ata tangu 2013.

Mimi naamini hatoweza kufa huyu mtu kama atachukua uamuzi wa kujua ni wapi asimamie..
Ningekuwa mimi yeye hata kama naumwa hivyo ninge mkubalia daktari na kuchukua majibu yangu na ushauri wake halafu mimi ningeendelea na Mungu wangu na si imani ya kufa...
Huyu mtu pengine amesha changanya sana madawa hata kwa waganga....
Imani aliyonayo kwenye kifo akiigeuza kwenye uzima na akasimama na Mungu nakuhakishia mwezi wa tisa ataandika uzi hapa kuwa bado yupo hai....
 
Pole ndugu, Mama yangu mzazi mwaka 2007 aligundulika ana kansa ya INI, akaambiwa baada ya miezi miwili atakufa. Ila miaka 11 sasa mama yangu mzima. Alipona kwa Neema na imani yake mkabidhi Mungu maisha yako ndo aliyekuumba.
 
KAKA YANGU MIMI ALIKIWA NA SARATANI YA KOO PALE MUHIMBILI DAKTARI AKAROPOKA HIVI....
"wewe ni wa kufa tu.... huna miezi miwili"

KWA HIYO USISEME MANENO HAYA KWA MADAKTARI WA TANZANIA LABDA KAMA UNATIBIWA ULAYA NA MAREKANI.
Mimi daktari akinambia hivyo hapo hapo tunazichapa.
 
Mkuu folk mimi nakuomba unipe nafasi ya kukuona tu ili nikupe daktari awezaye kukusaidia utapona sio kwa maombi bali tiba ya kusayansi tu
Mkuu huyo Daktari wako anaweza kuwa anatibu paralysis pia? Vp kuhusu cancer zingine kama Colon cancer ?
 
[emoji106]
 
Mungu wetu ni mkuu sana mwingi wa rehema na neema mtumainie yeye hakika utaishi na utayasimulia matendo yake makuu aliyokutendea. Kuwa na imani.
 
[emoji106]
 
Ndgu folks tambua neno hili "Uhai wetu umefichwa mikononi mwa Mungu na si mwanadamu!,madaktari wanatibu na wanapotibu akili yao ikishafika mwisho ni lazima watoe ripoti kama hio! Lakini tambu ya kwamba madaktari wanatibu ila Mungu ndo mponyaji!" Mungu wakati mwngine husubiri madkatari na ripoti zao zifike mwisho ili yeye ajitukuze kwa hilo! Embu mwamini Mungu na umsihi ajitukute na akuponye katika hilo kwn imeandikwa katika injili ya luka 18:27 " YASIYOWEZEKANA KWA WANADAMU,KWA MUNGU YAWEZEKANA" kwhiyo jipe moyo mkuu na kama bado hujampokea Yesu alie njia ya uzima ambae mtu hawezi kwenda kwa baba bila kupitia kwake em jitahd umpokee ili uruhusu uponyaji na Mungu ajitukuze kwako.
Barikiwa sana.
 
KAKA YANGU MIMI ALIKIWA NA SARATANI YA KOO PALE MUHIMBILI DAKTARI AKAROPOKA HIVI....
"wewe ni wa kufa tu.... huna miezi miwili"

KWA HIYO USISEME MANENO HAYA KWA MADAKTARI WA TANZANIA LABDA KAMA UNATIBIWA ULAYA NA MAREKANI.
Mimi daktari akinambia hivyo hapo hapo tunazichapa.
 
[emoji106]
 
Kifo ni another stage ya maisha ya mwanadamu, ishi kwa imani kifo hakina maumivu kama umejiandaa na kujiweka tayari,kila MTU atakufa hata wauaji,ishi ukiwa na Tumaini la kwenda kuonana na wapendwa wako waliotangulia.
 
Kifo ni another stage ya maisha ya mwanadamu, ishi kwa imani kifo hakina maumivu kama umejiandaa na kujiweka tayari,kila MTU atakufa hata wauaji,ishi ukiwa na Tumaini la kwenda kuonana na wapendwa wako waliotangulia.
Wafilipi 1:21 "kwa maana kwangu mimi kuishi ni kristo, na kufa ni faida"
 

Mungu ni mwenye nguvu anaweza akaahirisha mazishi yako! Mbona aliwanyayua viwete,waliopoza wakatembea omba kwa imani.
 
Kuna mtu mmoja Ulaya alitabiriwa na dokta angefariki baada ya miezi 2,leo ni takribani mwaka wa 24 anapeta tu,kwahiyo sio kila wanachosema madaktari lazima kitokee ndugu.
 
pole sana ndugu yangu ,Mungu atakupigania
hebu pitia huu uzi wa JF ilikuwa mwaka 2013 ,Huyu member mwenzetu alikuwa na shida kama yako,ila mpaka leo Mungu anampigania tupo nae humu JF(Mods please kama mkiweza hii thread ipelekeni juu c.c Moderator ,Paw

Cancer inachukua maisha yangu | JamiiForums | The Home of Great ...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…