Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,960
Unaweza kuwa msomaji tu sometimes ,utaelewa kitu kabla ya kutoa mchango wako.vinginevyo unajikuta unachangia kitu chenye ukakasi.
Ukapata viashiria gani?Ndio
hata humu picha yake imo sana...Ungeweza kunipa muelekeo huko facebook japo nimuone tu jamaa yangu.dah!
Una imani ipi?Sina iman hiyo
Hakika na msibani baadhi humu Jf walihudhuriaJe Alifariki baada ya miezi 4
Natamani kusikia kuwa huyu mpendwa Mungu kamuweka hai hadi leo. Je yupo nasi bado ?
Ntaipata wapi? Msaada wa link .hata humu picha yake imo sana...
JAMAA ALSHAVUTA AISEE.Izo R.I.P mnazompa mtu ambaye bado hajakufa mnamaanisha nin wadau...
Kwani uyo aliyesema yeye ndio mtoa roho... Usikute mwana akatoboa mpaka uzeeni...
Madoctor wa kibongo sio wa kuwaaamini .
Mwamba bado tunae tunaweza tukafa sisi kabla yake... Au mnapenda tu kuwishi.
Ngojeni afe kwanza.... Msilete gundu.
Mwana anatoboa mbooona.
EvidenceJAMAA ALSHAVUTA AISEE.
Juu kabisa kwenye jina lake utaona RIP.... halafu huu uzi usidhani umewekwa leo na msibani tulihudhuria wengine. HAYA SEMA LINGINE....Evidence
Kwenye jina lake hakuna rip..Juu kabisa kwenye jina lake utaona RIP.... halafu huu uzi usidhani umewekwa leo na msibani tulihudhuria wengine. HAYA SEMA LINGINE....
Last seen ni May 14, 2018.... au kwako inasoma yupo online?Mbona kama jamaa anatuchora maana yuko online..
basi labda ni wewe na id nyingine...... lakini amewekewa R I P. tayari. Sasa mimi nasoma rip wewe unaona icon OP.... na pia anza post namba moja hadi umalize zote 70 labda utaelewa.... AU KAMA NI WEWE NA ID YAKO HII MPYA BASI.Kwenye jina lake hakuna rip..
Kuna jina folks na icon ya OP.
Kuhusu uzi ni kweli ni wa muda saana nalielewa ilo... Ila uzi hakusema km kafa.. Ila alikadiliwa kufa..
Kwa iyo juu ya uzi na neno kwenye jina uo sio ushahidi wa kiisimu wala kihistoria..
Issue pekee ambayo nitakuamini kwa asilimia chache ni kusema kuwa ulikwenda msibani
Ila je ikiwa km id ndio zinatumika humu... Kipi kilikushawishi uamini kuwa mwenye huu uzi ndio aliyekufa?
Maana wana wanadai wanachat nae huko
Si tunaona jina tu.
Ila km kweli ulifika fresh. Ila ulifika kwa nani na evidence iko wap
Hauna uhakika... Yaani unahisi ni mimi tena aisee.basi labda ni wewe na id nyingine...... lakini amewekewa R I P. tayari. Sasa mimi nasoma rip wewe unaona icon OP.... na pia anza post namba moja hadi umalize zote 70 labda utaelewa.... AU KAMA NI WEWE NA ID YAKO HII MPYA BASI.
Hauna uhakika... Yaani unahisi ni mimi tena aisee.View attachment 1110806
basi tufanye umeshinda na jamaa hajafa.Sema km kweli kafa furesh tu...
Km unamuua wewe furesh.
Km yuko hai anaigiza napo ni furesh tu.
Kwani yoote hayo kwake ni matokeo yasiyoepukika.... Itakuwa na muda tu wa tukio ndio utatofautiana.
Kwa nin tufanye sasa wakati we ulienda msibani...basi tufanye umeshinda na jamaa hajafa.