Uzi kuwepo sio tatizo. Ni funzo kwa watu wengine kujua aina ya magonjwa, matibabu na tahadhari.Mods huu Uzi unatia simanzi.Ingekuwa vizuri kama mngeuondoa sababu mhusika mwenyewe hayupo.
Maxence Melo
Samahani mkuu hivi mtoa mada alishafariki kweli na ni lini?Maxence Melo
Kiongozi huu uzi si vyema ukawepo, ikiwa mwanzishaji ashatangulia mbele ya haki. Tunakuomba uufunge, mods mpaka leo wameuacha
Si kila mtu ambaye aliwahi kuona jinsi Marehemu alivyolalamika kipindi anaumwa, ataweza kustahimili kuuona tena ukiendelea. Ilihali ameshatangulia mbele ya haki
Hamsomi comment zote mkaelewa? kila siku kuulizia yale yale...Huyu jamaa mbona yuko online ?
View attachment 1112202
Alifariki mwaka Jana mwezi wa nane hivi...Samahani mkuu hivi mtoa mada alishafariki kweli na ni lini?
😭😭😭😭😭 RIPAlifariki mwaka Jana mwezi wa nane hivi...
Kwa sababu kama yako Kuufunga usichangiwe kisha kuuacha hewani itakuwa kazi bure sababu ni heri kuwaacha watu waulize maswali kuhusu ugonjwa huo....ili kuepukana na kejeli Uzi unafaa ufungwe tu..Uzi kuwepo sio tatizo. Ni funzo kwa watu wengine kujua aina ya magonjwa, matibabu na tahadhari.
Jambo tunalotaka kwa mods ni KUUFUNGA usichangiwe tena.
Cc Moderator
OkKwa sababu kama yako Kuufunga usichangiwe kisha kuuacha hewani itakuwa kazi bure sababu ni heri kuwaacha watu waulize maswali kuhusu ugonjwa huo....ili kuepukana na kejeli Uzi unafaa ufungwe tu..
Ni kweli na alifariki mwaka jana mwezi wa nane, naomba tuacheni kuchangia uzi huu pia.Samahani mkuu hivi mtoa mada alishafariki kweli na ni lini?
Umenifanya nisikiogope kifo kabisaDuh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;
Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it is..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.
Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi? Haumii kabisa,Trust me!
Death is painless ndugu.
Tangulia mkuu, tunakuja!
Candle in the wind.
Love you folk
Mbn account inatumika hata leo?View attachment 1143843
Ninyi watu mnaodandia uzi Kwa mbele ndo mnauharibu, kasome kuanzia page ya kwanza utaelewa. Tumechoka kukuelekezeni jambo moja kila siku. Tumwache ndugu yetu apumzike kwa amani.Mbn account inatumika hata leo?View attachment 1143843
The dream is over.What a tragedy [emoji174]
Death is a consequence of man's rebellion.The dream is over.