Nimeamini Kikulacho ki nguoni mwako na mchawi hatoki mbali

Mimi kuna mtumishi mwenzangu tumeajiriwa pamoja tumeishishi kota 1 toka tukiwa hatuna wake..tunapika nakula pamoja mimi nikapata kamkopo nikanunua nyumba..niliponunua napakana na kiwanja hakijajengwa nikamkaribisha[emoji849]mwenye kiwanja alitaka niuzia lkn nikaona aah nimshirikishe rafiki yangu et wafaida akanunua..akajenga akahamia yeye na familia yake..baada ya miaka hivi nikapata shida kiafya[emoji21]nikawa kazini naenda mara 1x1 hee boss akawa ananitukana mbele za watu kama dhihaka vile kumbe rafiki yangu ndio alikuwa anapekeka maneno kwa boss..lakini nikamsamehe kulikuwa kuna kaeneo pembeni tena nikaongeza kununua ooh sasahivi hatuongeii...
 
Hata mimi iliwahi nitokea situation ya hivi, kuna jinga moja tena ni jinga kweli kweli. Yaani nilitengeneza mchongo wangu mwenyewe ambao haukuwa na effect kwa yeyote kiofisi,

sasa lile jinga nilikuwa sijajua kama ni jinga la kutupwa nikalielezea ule mchongo na jinsi ulivyonisaidia kutengeneza pesa iliyonitoa sehemu ngumu kidogo, ebwana eeh imepita kama miezi 3 hivi mi nshasahau kabisa ule mchongo

Tupo kwenye kikao cha utendaji cha kawaida, sasa kuna watu walikuwa wana mikopo kwenye ile taasisi pamoja na lile jinga, hamadi jamaa anasema halipi mpaka na mimi nilipe ile pesa niliyomweleza almost three months back.

Likasema mchongo wote pale mbele ya wadau, unajua tena watu walivyona wivu! Nilijikuta nalitukana lile jinga mbele ya mkuu wa kazi.

Can u imagine huyu ni mtu aliyekuwa karibu yangu kinoma mshikaji ile kinoma, mvivu sana, anajua kutega sana yote haya nilikuwa namzibia mashimo! Kazi zake nyingi nilikuwa namsaidia lakini alikuja kunigeuka kisa dili la milion.
 
siku nyingine vyanzo vyabmapato usiviseme hatabkwa mkeo.kufa navyo hata akaunt unayoficha hela piga kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚watu wa bad hivi
 
[emoji2][emoji2][emoji3]Nimeimagine ulivyopigwa bumbuazi wakati jamaa anamwaga point zako dah...unaeza mpiga na stapler
 
🀣🀣🀣 Maana ya referee ni kuelezea ukweli kuhusu wewe.hivyo huyo jamaa amesema ukweli.cha kufanya ni wewe kubadilika.Ila pia na wewe siyo mtu mzuri si unaona umeanza kumchunguza
 
Sasa kama huna punctuality ulitaka adanganye? Referee maana yake nini kwani? Infact ukitaka kumuweka mtu referee hupaswi hata kumuomba wala kumjulisha, wewe muweke tu, akipigiwa aseme ukweli, basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…