Nimeamini Kikulacho ki nguoni mwako na mchawi hatoki mbali

Sasa kama huna punctuality ulitaka adanganye? Referee maana yake nini kwani? Infact ukitaka kumuweka mtu referee hupaswi hata kumuomba wala kumjulisha, wewe muweke tu, akipigiwa aseme ukweli, basi.
Wengi wao ni wehu, au kama sio wehu anaamua kukufanyia makusudi tuu mradi ukwame
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maana ya referee ni kuelezea ukweli kuhusu wewe.hivyo huyo jamaa amesema ukweli.cha kufanya ni wewe kubadilika.Ila pia na wewe siyo mtu mzuri si unaona umeanza kumchunguza
Alimstukia [emoji1787][emoji1787]
 
Ukitaka kuishi vizurii na rafiki au ndugu usikae nao karibu!! Waulize watu wanaoishi na wazazi, watakupa uzoefu!! Wale walio mbali ndio huwa bora kuliko wanaohangaika nao kila siku!!
 
Watu wa katibu ndugu marafiki ni mimi nilikuwa na rafiki karibia miaka 9 kumbe ni mchawi sana yaani kaniaribia maisha yangu sana mpaka mungu alipo nionyeshea mambo yake.rafiki wa kweli ni mungu wengine jamaa tu .
 
Hao ndio wananzengo kasahau yote kisa kununua pale..alijua nilipopata shida ya kiafya sitofanya maendeleo sitopata tena watoto nitaishia mmoja tu..wanapenda kuona tunateseka..
Mkuu mi bado napambana na watesi wangu,ngozi nyeusi tuna laana Sana mtu anakuchukia bila sababu,anataka vyeo vyako tena kishirikina kabisa.
Mungu atupiganie sana
 
Kudadeki
 
Maneno gan
 
Hujaeleweka
 
Elezea hapa
Tupo kwenye kikao cha utendaji cha kawaida, sasa kuna watu walikuwa wana mikopo kwenye ile taasisi pamoja na lile jinga, hamadi jamaa anasema halipi mpaka na mimi nilipe ile pesa niliyomweleza almost three months back.
 
Watu wa katibu ndugu marafiki ni mimi nilikuwa na rafiki karibia miaka 9 kumbe ni mchawi sana yaani kaniaribia maisha yangu sana mpaka mungu alipo nionyeshea mambo yake.rafiki wa kweli ni mungu wengine jamaa tu .
Ulijuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…