Nimeamini masharti ya marehemu wakiyasema kabla ya kukata roho

Dah, hii inakuaje
 
Mishuaa kila Rangi nmeandaa
Sindano tayari
Kitambaa kipo
Parachichi tayari (au tunda la kimasihara?)
Udi zipo Aina nne tofauti
Chumvi tayari
Aya Twende kazi au na nyanyo za pisi pia zinahitajika??
Kwa taarifa yako ushakuwa mwanga tayari kwa hayo matakataka unayomiliki ukipewa na ngozi ya fisi tu unapaa usiku
 
Mara nyingi marehemu akiwa na mambo haya-Ni ishara mbaya sana ya huko anapokwenda au alipo (No peace at all).
 
Hao marehemu walikuwa wachawi. Hamna jipya hapo. Aliyekufa kafa
 
[emoji1787][emoji1787] aiseee
 
Mkuu kwa hili nakuunga mkono asilimia [emoji817]
 
andaa mshumaa
andaa sindano
andaa kitambaa cheupe
andaa tunda unalolipeda sana kulila
andaa udi
andaa chumvi ya mawe

ukimaliza kuviandaa ni PM tumalize kazi.
Aloooo
 
Hii process mbona refu. Si bora mumpeleke marehemu alipotaka tu jamani. Kwa maana hatopata nafasi nyingine ya kuchagua tena maneno yake bora yaheshimiwe.
 
Hii yote shida ya nini hasa?
 
Cha Ajabu ishu kama hizi za Ajali za kusafirisha Maiti, lawama anapewa Dereva, kumbe chanzo cha Ajali ni Marehemu.

Kama ile iliotokea miezi mitatu Morogoro eneo la nane nane usiku wa saa mbili walikuwa wanasafirisha mwili kuelekea Mbeya, wakakutana na Lori uso kwa uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…