Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,193
- 2,599
Bro... PM yangu ipo wazikaka we shika nilivyokuambia, kichwa kiangalie mnakotoka na miguu mnakokwenda. Nina mambo mengi tu kwa mfano ukitaka namna ya kumkamata mwanga ama mchawi akiingia nyumbani kwako sema tu nikumwagie hapa, dawa za kumvuta mwanamke ama mwanaume akufuate popote ulipo hata kama ni usiku ninazo pia, ila haifanyi kazi kwa mke / mme wa mtu - sina uchoyo na hii elimu maana na mimi nilipewa bure.
Masuala ya kazini pia yako - vyeo, mshahara nk
Hio dawa ya kumvuta dem yoyote ipo?😀