muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Mnapotoa haya masharti uchwara muwe mnahakikisha mmeacha pesa pia, sio usafirishwe tu kwa kuchangisha wengine.
Je nikitaka Mama samia anione?...lete udambwi mkuu.wakuu sasa chagueni moja kwanza - tukimaliza tunaingia nyingine.
Ya kumteka boss:
Leta majina yake yote matatu......