kuna kisa cha roma mkatoliki,kusafiri kuelekea tabora na maiti,(mgonjwa aliyefia njiani).dereva alishtuka baada ya kuona hakuna kinacholeweka ktk safari,mara gari imechemsha,imezika ghafra,inavut upande[emoji16][emoji16][emoji16],akasimama na kukagua nyuma.
nilikaa na dereva mmoja wa taasisi yetu(mambo ya kugombania perdiem)baada ya kupewa gari na maiti apeleke mkoa,anakwambia hakuna rangi aliacha kuona.kuna muda watu wote wamelala akiangalia kwenye side mirror,anaona jamaa mmoja wao anamsimamisha,akishuka kucheki nyuma wote wamelala.
akakaza kiume,mbele mti ukaangukia road kimazingara tu ile kuukwepa ukapiga kioo cha mbele chote chini,matawi yakachana turubai,akiwa kakata tamaa ikabidi apige simu kwa wakongwe kuomba ushauri,wakamwambia geuza jeneza,aangalie alikotoka.
hali ikatulia,kufika kijijini kwao,kumbe jamaa toka alivyoondola 83 hajawahi kurudi,hakuna hata mmoja pale kijijini ana detail yeyote na marehem.