Nimeamini masharti ya marehemu wakiyasema kabla ya kukata roho

Lakini shida yote hii ya nini? Yaani ni ubahili tuu wa kumtoa Dar labda mpaka Morogoro, Dodoma au Arusha wakati mwenyewe kaacha maelekezo? Labda itokee hakuna mwenye uwezo kabisa wa kuchangishana na kukodi gari.
inategemea na aliyeacha maelekezo kama ana pesa za kumfikisha huko anakotaka kwenda kuzikwa au ana ndugu wenye uwezo wa kumsafirisha,,we huna pesa unaanzaje kuchagua sehemu ya kuzikwa...
 

Hii kali[emoji1430]
 
kuna vitu hata kuviandika si tu usiwe na aibu bali hata kufikiri huna. mf mtu kusema maiti inabebwa inakataa kubebeka au kunyanyulika! ndo nakubali watu weng wanasoma sawa lakin hawaelimiki kabsa. chumvi nyingi
 

Roho ya mauti inafanya kazi sana kwenye misiba
Mungu ashukuriwe kwa kutupatia roho wake anayeweza kushinda roho zote mbaya
 
kuna vitu hata kuviandika si tu usiwe na aibu bali hata kufikiri huna. mf mtu kusema maiti inabebwa inakataa kubebeka au kunyanyulika! ndo nakubali watu weng wanasoma sawa lakin hawaelimiki kabsa. chumvi nyingi

kitulize dogo kama bado unategemea kuishi kwa elimu ya darasani pekee.

huku mtaani kuna elimu nyingine kabisa,itakufanya utafakari upya kuhusu imani yako,elimu yako,na uwezo wako.
 
Hiyo ya vijiwe ni kweli....niliwahi kuubeba mwili wa dada mmoja mrangi kutoka Dodoma kwenda Kondoa...Kuna wazee waliniita pembeni wakaokota vijiwe viwili...wakasema niweke kwenye kiti changu...safari ikaanza mdogo mdogo huku wanaimba kaswida...mziki ulivyochanganja kaswida zikaisha..zinasikika tairi huko chini...mara Kondoa hii hapa,tukashusha maiti..wakasema kazi yako imekwisha kijana unaweza kugeuza kama uko vizuri..wakanipa nusu gunia la mahindi nikageuza kula krismasi town...ni kweli hayo mambo yapo.
 
Kuna Mwenzako kasema vice versa ya hiki ulichosema hapa sasa tumuamini nani labda?
kaka we shika nilivyokuambia, kichwa kiangalie mnakotoka na miguu mnakokwenda. Nina mambo mengi tu kwa mfano ukitaka namna ya kumkamata mwanga ama mchawi akiingia nyumbani kwako sema tu nikumwagie hapa, dawa za kumvuta mwanamke ama mwanaume akufuate popote ulipo hata kama ni usiku ninazo pia, ila haifanyi kazi kwa mke / mme wa mtu - sina uchoyo na hii elimu maana na mimi nilipewa bure.

Masuala ya kazini pia yako - vyeo, mshahara nk
 
Embu lete iyo ya kumvuta mwanamke Kuna pisi apa imekula pesa zangu sanaa
 
kuna kisa cha roma mkatoliki,kusafiri kuelekea tabora na maiti,(mgonjwa aliyefia njiani).dereva alishtuka baada ya kuona hakuna kinacholeweka ktk safari,mara gari imechemsha,imezika ghafra,inavut upande[emoji16][emoji16][emoji16],akasimama na kukagua nyuma.

nilikaa na dereva mmoja wa taasisi yetu(mambo ya kugombania perdiem)baada ya kupewa gari na maiti apeleke mkoa,anakwambia hakuna rangi aliacha kuona.kuna muda watu wote wamelala akiangalia kwenye side mirror,anaona jamaa mmoja wao anamsimamisha,akishuka kucheki nyuma wote wamelala.
akakaza kiume,mbele mti ukaangukia road kimazingara tu ile kuukwepa ukapiga kioo cha mbele chote chini,matawi yakachana turubai,akiwa kakata tamaa ikabidi apige simu kwa wakongwe kuomba ushauri,wakamwambia geuza jeneza,aangalie alikotoka.
hali ikatulia,kufika kijijini kwao,kumbe jamaa toka alivyoondola 83 hajawahi kurudi,hakuna hata mmoja pale kijijini ana detail yeyote na marehem.
 
Nmecheka sana , kwamba wakazika kimyakmya
 
My God, yaai anajivua gamba? Ulikuwa utajiri wa giza huo.
 
Leta hio ya kazi na vyeo
wakuu sasa chagueni moja kwanza - tukimaliza tunaingia nyingine.

Ya kumteka boss:
Leta majina yake yote matatu
Ulete karatasi yoyote aliyoandika kwa mwandiko wake
kata kipande cha nyuzi ama kibao kidogo hata kwa wembe kwenye kiti chake anachokaa ofisini
mshumaa
Mafuta ya maiti... kumfanya ndondocha wako

Mengine ni siri -- Pm tumalize kazi

Baada ya hii kazi Boss atakuwa anakusalimu kwanza kila akifika asubuhi ofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…