Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

Mafanikio huanzia rohoni.
Inategemea biashara zako,kazi,kilimo na mifugo.
Mimi kuna nyakati nilikuwa 0 lakini huyu Mungu ni FUNDI sasa namiliki meli kubwa za mizigo.
 
Hao mamilionea ni sawa na 0.0035% ya watanzania wote.
Kwa mwaka upi?
Inategemea unaishi wapi au pengine umezungukwa na masikini wengi.
Tanzania has 2,400 individuals with a net worth of over $1 million, with 1,300 of these residing in Dar es Salaam ¹ ² ³ ⁴. The country is also home to 80 individuals with a net worth of $10 million or more, 8 with a net worth of $100 million or more, and 1 individual with a net worth of $1 billion ¹ ² ³ ⁴.
Sasa geuza kwa madafu fanya pro rata distribution kwa watu mil 61 halafu tafuta asilimia.
 
Duh hiyo sio cash ni assets worthy manaake wengi ni wahindi na waarabu wenye mashirika viwanda mashamba makubwa, huwezi kumpata mmakonde au msukuma na hizo mali $1m ambao ni sawa sawa na 25bn Tz shilling.
 
PDF imenyooka ila imekosa kutaja risks.
 
Kati ya watanzania 100 mwenye ana account bank yeye kiasi zaidi ya 2.5 millioni ni 3 au 2
Mmh wewe hujui kwamba watu wako vibaya kuna watumishi hajawahi kuona kiasi cha pesa chenye six figures mda wake wote wa utumishi.........watu wana 100k kwenye account kama pesa ya dhalura mpaka auze nyumba au kiwanja ndo achungulie million kwenye account na haiwezi kukaa zaidi ya siku 30 bila kuitoa, na hawezi kuuza kiwanja kila siku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya miaka 10, 2034 utakuwa tayari na 100M. Ukiziacha huko huko UTT

Kwa sasa hivi endelea na harakati nyingine. Hiyo 56M, achana nayo wala hutakiwi kuifikiria.
Kuweka Milioni 56 kwa miaka 10 ndo upate milioni 100 ni uwoga wa maisha nakukosa ushauri wa kijasiriamali. Hizo hela akiiwekeza kwenye kilimo cha Zabibu au Miti ya Mitiki (kule Nyasa na kilombero) au Pines au cyprus kule Njoimbe na Ludewa baada ya hiyo miaka 10 anafikiria kushika Bilioni 1.
 
Na mimi nitachukua ushauri huu.
 
Hujaelewa point yangu ukakimbilia kujibu pumba kwa kiingereza cha kisukuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…