sam mirror 1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 969
- 2,318
Ngojeni kwanza mnafanya biashara gani wazee naombeni mnisaidie mawazo umaskini laana natamani niwe nazi na ninaamini nitazipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda uliishika kwenye videoNamshukuru Mungu nimebahatika kuishika M100+ kabla ya kufika miaka 30.
Kwa viwango vya TZ, Hao millionaires wanakidhi viwango vipi? Ili niitwe millionaire, napaswa kuweza kuvuta milioni ngapi?Tafuta hela ndugu yangu. Records zinaonyesha kuna millionaires zaidi ya 2300 Tanzania.
By TZ standards, miliki angalau 100m tutaanza kukufikiria fikiriaHujui ata yule anae miliki 2m anaitwa millioniar au hujui hilo?
Yoda comment yako imenitafakarisha sana hasa hizo sehemu nilizo bold....Wengi wangapi?? Hata kama kuna Watanzania milion moja wenye ukwasi TZS bilioni 2.5 bado huwezi kusema ni wengi kwenye taifa la kariba watu milioni 40 ambao wamefikia umri wa kufanya kazi.
Kwa hapa tanzania hata ukiwa na kiwanja au asset yoyote yenye thamani ya shilingi milioni moja ya madafu, wewe tayari ni millionaire...Kwa viwango vya TZ, Hao millionaires wanakidhi viwango vipi? Ili niitwe millionaire, napaswa kuweza kuvuta milioni ngapi?
Safi sana, mdogo mdogo tunasonga…Crdb shares zinatuinua mnooNimehamia kwenye hisa UTT Nina 700k only
1. Uwekezaji katika biasharaKwa viwango vya TZ, Hao millionaires wanakidhi viwango vipi? Ili niitwe millionaire, napaswa kuweza kuvuta milioni ngapi?
jyingi ivo mi na laki tuHabari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa.
Nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT.
Je, wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa muda gani? Tupeane uzoefu
Amina kk. Pambana utafikaMungu anisaidie, aniwezeshe kupitia jitihada zangu mwaka huu 2025 nishike Milioni 100 za kwangu mwenyewe.
Mungu wewe ndio kimbilio letu, wewe ndio Mkuu, unamuua unalotaka liwe na linakuwa, usiniache kwa ombi langu hilo kwa mwaka huu!
Unafikiria kama mimi. Big up. Ila hata 100m ni pa kuanzia.Kwa hapa tanzania hata ukiwa na kiwanja au asset yoyote yenye thamani ya shilingi milioni moja ya madafu, wewe tayari ni millionaire...
Ila ukitaka kuwa world class millionaire unapaswa kuwa na networth ya $1m ambayo ni sawa na 2.5b ya kitanzania.