Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

Ngojeni kwanza mnafanya biashara gani wazee naombeni mnisaidie mawazo umaskini laana natamani niwe nazi na ninaamini nitazipata
 
Mara ya kwanza kuona uzi wako ulikua na 42 Mil alafu mimi nilikua nasoma 17 Mil , hongera sana kwa kufikisha 100 mil ,nakuja huko taratibu
Nimehamia kwenye hisa UTT Nina 700k only
 
Attachments

  • Screenshot_20250223-151428.png
    Screenshot_20250223-151428.png
    98.3 KB · Views: 3
Ngojeni kwanza mnafanya biashara gani wazee naombeni mnisaidie mawazo umaskini laana natamani niwe nazi na ninaamini nitazipata
Kuwa na akiba ni swala linalochukua Muda. Nasi tulianza taratibu mpaka sasa almost 7 years
 
Wengi wangapi?? Hata kama kuna Watanzania milion moja wenye ukwasi TZS bilioni 2.5 bado huwezi kusema ni wengi kwenye taifa la kariba watu milioni 40 ambao wamefikia umri wa kufanya kazi.
Yoda comment yako imenitafakarisha sana hasa hizo sehemu nilizo bold....

Tatizo ni nini hasa? kwanini tuna millionaires wachache kiasi hicho na maskini wengi?

Wakati huo taifa la Australia lenye population ya watu milioni 26 lina mamillionares zaidi ya milioni 2 wa dollar, tafsiri yake ni kwamba katika waaustralia 10 basi kuna millionaire mmoja
 
Kwa viwango vya TZ, Hao millionaires wanakidhi viwango vipi? Ili niitwe millionaire, napaswa kuweza kuvuta milioni ngapi?
Kwa hapa tanzania hata ukiwa na kiwanja au asset yoyote yenye thamani ya shilingi milioni moja ya madafu, wewe tayari ni millionaire...

Ila ukitaka kuwa world class millionaire unapaswa kuwa na networth ya $1m ambayo ni sawa na 2.5b ya kitanzania.
 
Kwa viwango vya TZ, Hao millionaires wanakidhi viwango vipi? Ili niitwe millionaire, napaswa kuweza kuvuta milioni ngapi?
1. Uwekezaji katika biashara
2. Uwekezaji wa Ardhi na mali zisizohamishika
3. Ujasiriamali na ubunifu.
4. Uwekezaji kwenye Hisa na Fedha
5. Nidhamu ya fedha na akiba
6.pesa kati ya milioni 100 mpaka bilioni 1
 
Habari wakuu,

Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa.

Nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT.

Je, wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa muda gani? Tupeane uzoefu
jyingi ivo mi na laki tu
 
Mungu anisaidie, aniwezeshe kupitia jitihada zangu mwaka huu 2025 nishike Milioni 100 za kwangu mwenyewe.
Mungu wewe ndio kimbilio letu, wewe ndio Mkuu, unamuua unalotaka liwe na linakuwa, usiniache kwa ombi langu hilo kwa mwaka huu!
 
Amina kk. Pambana utafika
 
Kwa hapa tanzania hata ukiwa na kiwanja au asset yoyote yenye thamani ya shilingi milioni moja ya madafu, wewe tayari ni millionaire...

Ila ukitaka kuwa world class millionaire unapaswa kuwa na networth ya $1m ambayo ni sawa na 2.5b ya kitanzania.
Unafikiria kama mimi. Big up. Ila hata 100m ni pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom