Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

So mtu kukusave jina lako na mkoa uliokutana nae ni kosa kwenye mahusiano au umeshindwa tu kusema wewe upo insecure na hisia zako?

Kwanza umesema umechagua kutulia ila mbona unaonekana utulivu kwako ni zero kabisa?

Au unatafsiri kutulia tafsiri yake ni kutokuwa na mahusiano ya nje tu? Kutulia ina jumuisha na wewe kukua kiakili na kujiheshimu plus kujitambua kimaamuzi. Kama unamuacha mtu kwa kukusave jina usilopenda utaweza kudeal na mikiki ya maisha ambayo itakutoa katika mahaba na mwenzako.

Ni vipi kama alikusave hivyo mara ya kwanza mlipoonana na akasau kukubadilisha?

Unaweza kutana na mwanamke stationary ukamsave "Anna stationary" au "Suzy counter" au " Anita hostel" haya majina hayana uhusiano wa moja kwa moja na anavyokuchukulia bali ni namna alikusave ili akukumbuke kutoka na mtazamo wa kwanza alivyokutana na wewe.

Ungekuwa unajitambua ungemuuliza kwa utani mbona amekusave jina baya hivyo then mtazame atajitetea vipi na atafanya nini then kuanzia hapo ungeamua cha kufanya ila wewe umejiamulia tu kibinafsi bila kumpa mtu nafasi ya kujielezea au kujitetea. Hiyo ni red flag ujijue unatembea nayo na inaweza kukugharimu mahusiano mengi sana huko mbeleni.
 
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo

Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe

Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri

Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo.

Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo

Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
😀😀😀 tatizo ukisave jina halisi ni rahisi kusahau maana kwenye pilikapilika za maisha tunakutana na watu wapya kila siku. mfano kuna dada anaitwa monica anauza matunda huwa ananileteaga hapa home sasa namba yake nikisave monica hata nikiona call yake notashindwa kuelewa monica yupi kwaiyo kwa ajiri ya kukumbuka kirahisi inabidi nimsave monica matunda.

Tukija kwenye hoja yako ya msingi. Datong pool ni jungle hakuna atakaekuonea huruma. Kadiri unavyozidi kuwa naive na tricks za kwenye dating pool ndivyo wenzako wanapata nafasi zaidi ya kutumia iyo advantage. Ndio damaged women ni rahisi kupata mume mwema kuliko decent woman kwa sababu huyu wa kwanza ana uzoefu wa saikolojia na characters za wanaume wengi na anajua cheating codes za mchezo

Vilevile ni rahisi badboy kupata mke mwema kuliko ilivyo kwa nice guy kwa sababu kama ilivyp kwa damaged woman, badboy nae anaujua mchezo n ambinu zake zote humo kwenye dating pool
 
Sawa.. kwaiyo ushaurii wako ni upi mkuu
 
Mim nimejitolea hasa kwako lakin umesema hutaki wa humu JF

Kwangu mimi nadhani sisi ndio tunakufa zaidi mana tunajua past yako.....

Tukikukubali ndio tumekubali na yale yote uliopitia

Lakin kwa vile ushanikataa, basi nami sinabudi kukutakia kila la kheri huko uendako
Asante sana
 
Hapo ndiyo utachakaa kwasababu mapenzi hayahitaji hasira. Utajikuta umempoteza mtu mwenye true love na kuangukia kwenye watu wenye mikono mibaya.
Ushauri wangu.
Fanya mazoezi, jipende na tulia. Tumia akili kwenye mapenzi na siyo hisia. Mtu mwenye mapenzi ya dhati atakuja tu ukitulia.
Sawa
 
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo

Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe

Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri

Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo.

Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo

Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵

Wewe ni desperate, na utateseka sana usipotengeneza furaha yako!
 
Hakuna palipo na watu salama Bali vigezo na mashart ndo yatakupa usalama, wa church usiwaogope hao wasogelee ila vigezo ni vilevile na ndo vya mungu shida we huwezi mambo ya mungu hapo ndo tatz linaanzia
Sauwaa
 
Back
Top Bottom