Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo

Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe

Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri

Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo.

Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo

Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
ni kweli
 
Kw
Huoni unatuchosha. Alaf hutaki mwanaume wa JF
Kwa kuongea kwako sana jf wengi wanakuona ni mwingi tayar sijui kama unaelewa Hilo angalia post nyingi zimekuelewaje kama jamvi na huenda hauko hivyo
 
Alikupenda kweli na ana mke na familia?
Anapenda kweli na ana familia Wala sio tatizo ni vigezo na mashart tu, pili umeona mwenyewe unasema mwema kumbe nawe ulimchukilia ni wakupita kumbe uayaanzisha mwenyewe hukumzingatia na wengine hawakuzingatii wewe ngoma drool, we si mwema wewe ni chagua chagua ndo unapigwa
 
Hao ndio nawaogopa kuliko wanaume wa mtaani
Hakuna palipo na watu salama Bali vigezo na mashart ndo yatakupa usalama, wa church usiwaogope hao wasogelee ila vigezo ni vilevile na ndo vya mungu shida we huwezi mambo ya mungu hapo ndo tatz linaanzia
 
Tatizo anaekupenda humpendi mkuu… yaani kuna mtu kaniomba hadi anioe hii ni mara ya 2 namzuga sijampa jibu kwa vile sijamuelewa tu
Bado hujaaamua kutulia endelea kuhangaika tu na maplay boys wanaendelea kukuchakaza. Halafu bora kupendwa kuliko kupenda. Mpe nafasi anayekupenda huenda na moyo wako utabadirika na wewe utampenda pia.
 
Bado hujaaamua kutulia endelea kuhangaika tu na maplay boys wanaendelea kukuchakaza. Halafu bora kupendwa kuliko kupenda. Mpe nafasi anayekupenda huenda na moyo wako utabadirika na wewe utampenda pia.
Zingatia hiyo post ya juu, inaonekana unataka maisha ya kufikirika na ndo yanakusumbua, Kaa ufikir vizur
 
Hapo ndio pagumu mkuu… sijui mapepo yaliniingia nimekuwa mvivu kufanya ibada sikumbuki hata last time nilienda lini church
Ila this week nabadilika
Ikiwa huwezi mheshimu na kumuabudu Muumba wako unatakaje watu uliowajua ukubwani watakuthamini?
 
Masharti tena kwenye kugegedana😲
Hiyo sasa sio starehe tena
Sio kwenye kugegedana mashart Ili muanze kugegedana yaani ni nani unagegedana naye? Ndo nimempa msimamo usikupe mgegedo mpaka Umuoe. Nd mashart yenyewe amvulie chupi mumewe tu
 
Sawa.. mahusiano yajayo ni kuomba hela tu
Hapo ndiyo utachakaa kwasababu mapenzi hayahitaji hasira. Utajikuta umempoteza mtu mwenye true love na kuangukia kwenye watu wenye mikono mibaya.
Ushauri wangu.
Fanya mazoezi, jipende na tulia. Tumia akili kwenye mapenzi na siyo hisia. Mtu mwenye mapenzi ya dhati atakuja tu ukitulia.
 
Huyo mmoja si ndio huyu nilimpata nae mambo mengi
Mim nimejitolea hasa kwako lakin umesema hutaki wa humu JF

Kwangu mimi nadhani sisi ndio tunakufa zaidi mana tunajua past yako.....

Tukikukubali ndio tumekubali na yale yote uliopitia

Lakin kwa vile ushanikataa, basi nami sinabudi kukutakia kila la kheri huko uendako
 
Back
Top Bottom