Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Kila mahusiano sio lazima yafikie ndoa mazeee......
Na ndoa hua hailazimishwi, pia ukimpa mwanaume uchi wako haimaanishia kwamba anakupenda.
Sahihi mkuu
ila sisi tukiambiwa tunapendwa masikio yanasimama kuamini
Mapenz
 
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo

Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe

Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri

Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo.

Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo

Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
Kaitembeze tuu kwa wahuni achana na hawa wanaojiheshimu hawafai.
 
Moyo unakataa mkuu
Hapo utaruka ruka ukiona umemkosa wa vigezo vyako unajaa kwa huyu nice man 😂😂😂😂... Kila mwanamke huwa anae mwanamume wa hivi, anawekwa sub kwanza ila zile dakika za jiooooooooni ikiwa bila bila ndio anatambilishwa mchezoni shwaaaaaa, watu tunakula ubwabwa.
 
Back
Top Bottom