Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Kila mahusiano sio lazima yafikie ndoa mazeee......
Na ndoa hua hailazimishwi, pia ukimpa mwanaume uchi wako haimaanishia kwamba anakupenda.
Sahihi mkuu
ila sisi tukiambiwa tunapendwa masikio yanasimama kuamini
Mapenz
 
Kaitembeze tuu kwa wahuni achana na hawa wanaojiheshimu hawafai.
 
Moyo unakataa mkuu
Hapo utaruka ruka ukiona umemkosa wa vigezo vyako unajaa kwa huyu nice man ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... Kila mwanamke huwa anae mwanamume wa hivi, anawekwa sub kwanza ila zile dakika za jiooooooooni ikiwa bila bila ndio anatambilishwa mchezoni shwaaaaaa, watu tunakula ubwabwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ