Nimeamini wanaume hawaaminiki

Yaaah watulivu wapo wengi tu..Tambua kitu kimoja hakuna mwanadamu aliemkamilifu hivo usiwahukumu,sio kazi yako hio,umeshawishiwa umekataa that's Good umesimama imara hujateleza

Kingine hio ni sample ya namna jamii ilivyo.Unaweza kuwa na watu wengi mkiwa pamoja wanafurahi na ww ila wakiwa peke yao roho za chuki,visasi n.k vipo juu yako.
 
Ngoja leo niseme kitu maana mimi huwa ninafanya tafiti kimya kimya.

Kuna mdada anaitwa Leejay huyu akianzisha nyuzi yake itatembea balaa nahisi ni sababu ni mtu ambaye yupo social sana na anaandika uhalisia sana wa maisha.

Wa pili. Ni Ephen uzi wake wa jeshini umempa umaarufu sana nikashangaa mpaka kaka yangu Lucas Mwashambwa akatia komenti yake na wamekuwa na chemistry nzuri sana.

ila kuna watu wale wanaopost saa24 wengi huwa ni waongo waongo na hawana kazi.

Pole dada ephen mtoto wa ukonga(jokes)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…