Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

😂😂😂😂
samaleko wifi yangu, tchaaah'..!🙌
tunaomba uwe kungwi kwa wakaskazini siye, mambo kumbe huko duniani ni makubwa mno..!

Nirudi unyagoni walaqhi', sema hapo pa 'macalio' nimewaza zile shape zetu nikasema eeh' Jehovah Shama tuhurumie, tutatingisha nini sisi wa huko 'mlimani', basi bhaana hadithi yetu itakuwa imeishia hapo..!!
Wifi mji mzito huu 🤣🤣🤣
 
Kwahiyo hapo ndio umemaliza research yako kuwa wanaume wote wanacheat,hiyo tabia yako ya kuwa na rafiki mke wa mtu ndio itakugharimu,kwa maisha kama hayo nimewahi kushuhudia mtu kaacha mke na kuhamia kwa rafiki wa mkewe.

Usijaribu kushindana na shetani kwa kutumia akili zako mwenyewe,usipoangalia utashtukia tu siku moja mko chumba kimoja na Baba Cathe mmejifungia mlango...
Hii ya jamaa kuachana na mke wake kisha kuhamishia majeshi kwa rafiki wa mke wake nimeishuhudia pia.
 
Back
Top Bottom