Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Sasa mbona unakomaa na Mambo ya dini wakati unasema umeamua kuachana nayo?Kuna wanao sema yesu ni Mungu, vipi alipo kufa msalabani dunia ili baki na nani?.
kwanini aseme baba iki kupendeza niokoe na kikombe hiki?, ko ali kuwa ana jikejeli?
Sasa mbona unakomaa na Mambo ya dini wakati unasema umeamua kuachana nayo?
Dini ni matendo Kwan matendo yao yanaakisi dini? Gaidi ni mtu aliyefeli maishaWe huoni bendera zao? Au unjitia wazimu!
SawaBaada ya kuanza kutumia kichwa vzr kufikiri.
Hebu nipe hizo contents kwanza kidogo nioneBible na Quran tunaziita ni coded books za kufungua mlango wa sita wa fahamu na kufungua siri zilizojifichwa duniani.
Ukivisoma kama gazzet utaishia level ya kufukuza mapepo tu usijue kuitumia hazina iliyomo ndani ya vitabu hivyo matatizo yakukimbie ule kuku kwa mrija.
Big chaiBible na Quran tunaziita ni coded books za kufungua mlango wa sita wa fahamu na kufungua siri zilizojifichwa duniani.
Ukivisoma kama gazzet utaishia level ya kufukuza mapepo tu usijue kuitumia hazina iliyomo ndani ya vitabu hivyo matatizo yakukimbie ule kuku kwa mrija.
Ila najua most of them don't, growing up nlikuwa na a white boy baba Jew mama Persian from Tehran aloooh wale watu wako na principles tofauti kabisa za maisha, aisee acha kabisa,NIliona youtube mkuu, some jews agree with that others dont
Hayo yote naya jua, na yata fanyika nje ya dini hizo.Dini imekuwa mfumo kama ilivyo mifumo
Mingine ya kijamii ,chama nk,kabla ya dini hapo nyuma kulikuwa na namna ya wazee wetu kuabudu na kushughulika na mambo yao ya kijamiii kama namna ya kusaidia watu na kujumuika katika nyanja mbalimbali kama misiba ,harusi na magonjwq na mifumo yote hiyo ya kale imekufa dini imechukua nafasi
Ndio inahusika na matatizo ya watu shughuri zote za kijamiii kama harusi ,misiba nk
Unapoachana na dini sio kosa ila unajiweka nje ya mfumo ambao tayari ile ya asili ilishakufa
Ndio shida inaanzia hapo sikuizi hata kupata sehemu ya mtu kuzikq nje ya mfumo wa dini ni kazi sana wanmiliki viwanja vya kusikia pamoja na waombolezaji ,wanamiliki mifumo yote ya kuoa na kuolewa nk iyo jipange vizuri ikiwa unajiweka nje ya mfumo huu
Haki amani na upendo vita patikana nje ya dini mkuu.Kwa hio utaki haki amani na upendo
Pamoja sana mkuuDini ni mpango wa dunia kuitawala kiurahisi kupitia mafundisho na hisia, uislamu umeshika sana waislam huku ukristo ukizidi mara dufu....leo ni vita sana kuelewana..
Dini kwangu si kitu basi tu
Wahaya na ukatoriki ni damudamu.Ohoooo
Good morning kipenziWahaya na ukatoriki ni damudamu.