Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Unaandika kama vile una kigugumizi
 
Pole kwa kuchelewa mwaisa, Dini ni usnitch
 

Umeleta ujanja ujanja wa ki mantiki - logical fallacy
 
Hivi Asia wanaabudu imani gani. Wahindi, Korea humo mpaka Japan
 
Basi kama hauna ni heri. Sasa kwa ushauri rudi shule kidogo kujifunza imla ndio uje kuchambua masuala ya imani
Imla inasaidia nini, mbona ume launch personal attack, kwanini usije na hoja za msingi za kupinga alichokisema, jamaa ana logic, unazaliwa na watu wakristo why does that makes you a Christian automatically vip kama ukristo haufai na Islam ndio din ya ukweli au unazaliwa na na Islam unakuwa Muislam automatic vipi kama Islam haufai din ya ukweli ukristo ? Kwanini anaekuzaa wewe akuingize kwenye din ya uwongo kama kweli hizi dini moja wapo ya uwongo? Kwanini dini tu iwe daraja la kumfikia MUNGU, ? Usilete reference ya kwenye Bible wala Qur'an hivi vitabu wazungu wakikaa wakavisuka vizuri tu ili kumanipulate watu weusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…