Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Angalia theory za kufikirika eti kuta kuwa na mabikra 72, kisa tu kasikia au kuambiwa.

vipi na hawa wanawake na dada zetu nao wata pewa vijeba 72 viwa shughulikie?
Hata usipokuwa na dini haipunguzi wala kuongeza kitu. Wewe hujielewi. Kama hao wanawake 72 unaona wivu basi jikaze tu huna lolote na ukafir tu unakusumbua.
 
Hata usipokuwa na dini haipunguzi wala kuongeza kitu. Wewe hujielewi. Kama hao wanawake 72 unaona wivu basi jikaze tu huna tulolote na ukafir tu unakusumbua.
Hakuna mahali kasema inapunguza kitu au kuongeza kitu, yeye kaeleza mtazamo wake tu kuhusu dini.
 
Back
Top Bottom