Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #141
Maana Ume ona uongo wakoHahahahaa naishia hapa braza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana Ume ona uongo wakoHahahahaa naishia hapa braza
daah kweli tunatofautiana. kwaiyo mkuu autaki wale mabikira 72 au😋Angalia theory za kufikirika eti kuta kuwa na mabikra 72, kisa tu kasikia au kuambiwa.
vipi na hawa wanawake na dada zetu nao wata pewa vijeba 72 viwa shughulikie?
NdiyoKwahy sakafu mnayosiginia nyuso zenu ilishushwa from heaven ?!
Kivipi?Ndiyo
Hakuna. Unaposema Mungu unatakiwa utuambie Mungu ninani so ukisema utaki dini tujue unasema unalojuaMaana Ume ona uongo wako
Swali mujarabu ambalo hata imam wa Makkah hana jibu solid unless kama wanadai huko peponi wanawake hakuwahusu lakini vinginevyo kama nao kunawahusu bali kila mwanamke apewe vingwangwa vyake konki kabisa 72 awe anazagamuana kinomanoma kama midume nayo inapatiwa kila mmoja mademu 72 ambao wote wanakuwa na bikra zao mwanana kabisa.Angalia theory za kufikirika eti kuta kuwa na mabikra 72, kisa tu kasikia au kuambiwa.
vipi na hawa wanawake na dada zetu nao wata pewa vijeba 72 viwa shughulikie?
imani anayo ila dini haitakiMkuu,
Nini kimekukuta? Nini kime ishake Imani YAKO.
Kasomeimani anayo ila dini haitaki
yaani ni story ambazo ziko hovyo kudadadeki.Swali mujarabu ambalo hata imam wa Makkah hana jibu solid unless kama wanadai huko peponi wanawake hakuwahusu lakini vinginevyo kama nao kunawahusu bali kila mwanamke apewe vingwangwa vyake konki kabisa 72 awe anazagamuana kinomanoma kama midume nayo inapatiwa kila mmoja mademu 72 ambao wote wanakuwa na bikra zao mwanana kabisa.
Wagalatia nao eti ukimwani Yesu tu na kutubu regardless ujahili wote ulioufanya duniani mbingu ni ya kugusa tu unatia timu, na mbinguni inasemekana ni juu, sijui juu wapi wakati dunia inazinguka(though I know haya maandiko yaliandikwa enzi watu wakiamini dunia iko kama meza, they thought it was flat back in those days)
Dini zimejaa madudu ya kufikirika mengi ambayo hayana solid proofs.
sahihi kabisa, Kikubwa amani na upendo vitawale.imani anayo ila dini haitaki
Sahihi sana mkuu, hoja safi kabisa.Actually waliojishikamaniza na dini kwa kuhudhuria yale yahusianayo na dini husika eg kwenda Kanisani kwenda Msikitini etc hawana tofauti na wale wanaotoka Bunju mpaka Taifa kushangilia Simba na Yanga.
Au kuingia bar kunywa pombe au gest kufanya yale yawafurahishayo so ni uamuzi wa mtu na mimi huwa namshangaa mtu anapojifanya anapenyeza itikadi zake kwa wengine tena kwa nguvu asijue kila mmoja kwa nafsi yake kwa wakati wake atakutana na destiny yake huku yeye akiwa hayupo,tunaishi dunia huru mtu akitaka kufanya hiki afanye akitaka kufanya kile afanye even akifikia kusema hakuna Mungu aachwe aseme kwa sababu sisi sote hakuna anayeweza kusema ni bora kuliko wengine na majibu yote tutayapata siku tukifunga macho.
Weye wasemaHakuna. Unaposema Mungu unatakiwa utuambie Mungu ninani so ukisema utaki dini tujue unasema unalojua
Wengi wenye hoja Kama hii yako ya mlengo huu.Actually waliojishikamaniza na dini kwa kuhudhuria yale yahusianayo na dini husika eg kwenda Kanisani kwenda Msikitini etc hawana tofauti na wale wanaotoka Bunju mpaka Taifa kushangilia Simba na Yanga.
Au kuingia bar kunywa pombe au gest kufanya yale yawafurahishayo so ni uamuzi wa mtu na mimi huwa namshangaa mtu anapojifanya anapenyeza itikadi zake kwa wengine tena kwa nguvu asijue kila mmoja kwa nafsi yake kwa wakati wake atakutana na destiny yake huku yeye akiwa hayupo,tunaishi dunia huru mtu akitaka kufanya hiki afanye akitaka kufanya kile afanye even akifikia kusema hakuna Mungu aachwe aseme kwa sababu sisi sote hakuna anayeweza kusema ni bora kuliko wengine na majibu yote tutayapata siku tukifunga machotosha.
Vipi na wanawake wata pewa vijeba 72 viwa shughulikie?daah kweli tunatofautiana. kwaiyo mkuu autaki wale mabikira 72 au😋
min -me mwingine huyu 😂 😂Wengi wenye hoja Kama hii yako ya mlengo huu.
Huwa ni hohehahe/ wachovu/ walio vurugwa/ kata tamaa/ changanyikiwa/ wenye tatizo la afya ya akili/ wenye frustrations/ walio na pesa nyingi mpaka kukufuru/watu walio achieve utajiri mwingi na ukawapotosha.
Moja ya above ndio Jambo mtakua nalo kwa Nia njema TU nimeyaeleza hayo & vice versa is True 😊.
shekhe kufunga na masuala ya dini ni vitu viwili tofauti 🤣😂hutaki kufunga shehe tumekujua 😂😂😁
Naam, na huo moto kila dini Ina wa kwake kudadadekiUkigundua kuwa dini ni utapeli utaishi kwa raha sana. Hutawazia kuhusu moto "fake" wa milele.