Mkuu wasomi wa bongo hasa wa miaka hii ya Leo ni watu wa ovyo sana na ni wa kupuuza.
Wasomi wengi wa bongo ni wavivu,waoga,wajuaji na ni wajinga pia.
Ukimchukua msomi wa bongo na msomi wa Kenya ambao wako level sawa kimaisha na hawana ajira baada ya miaka miwili msomi wa bongo utamkuta yuko pale pale anaomba hela ya nauli wakati huo wa Kenya atakuwa hata anaendesha NGO yake mwenyewe.
Huyo niliyemquote ni mmoja wapo ya wapuuzi ambao wanastahili kupuuzwa kwenye hili jukwaa.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Ww dogo ulichopenda apo ni nini sasa..huyu the list na mwenzake chasha watawapoteza nyie kuweni makini sanaNimeipenda sana hii mkuu. Mm niliwahi fanya kama ww baada ya project ndio nikasema walipinga sanaaaa. Ila baadae mmoja mmoja akataka TU JOINI PAMOJA. Yani ww acha tu.
Sema baada ya kufanya tu.hasara ni sehemu ya bznes
Tatizo wengi wanakimbilia kwenye kilimo baada ya kupigiwa hesabu na hawa wahamasishaji faida za kilimo kwenye semina zao.
Kilimo sio kirahisi hivi kama kinavyochukuliwa, jamaa kabla hata hajaanza kulima kaishapigia hesabu za 16M na 28M.
very true. Jana nimeongea na mshikaji wangu wa kateshi ambaye amelima heka 20, amesema anauhakikika wa kuvuna 450 bags za mahindi. gharama aliyotumia ni kama 12mil hivi. Kinalipa haswa.kikubwa ni kuthubutu.
Karibu,maisha ni kujifunza kunakotokana na kutamani wengine wanachofanya hata Mimi nilifunzwa hivyo Karibu sanaAiseee hongera sana Dada yangu .Ninatamani kujifunza mengi sana kutoka kwako kuhus kilimo nimeona aisee umetisha sana.Naomba ruhusa yako niku pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Siasa ndio kila kitu... haikwepeki ndio maana mnaambiwa msipopiga kura mnajinyima wenyewe haki zenu..Wafahamu baada ya kuvuna.. hayo mazao yanakuwa katika muongozo wa Serikali? Na ukikosea kuuza mazao jela utaiona...Siasa kila sehemu? Waache wadau wajadili kilimo, ujasiriamali na changamoto zake. Huyo usiempenda hata ukimshambulia vipi hatabadili maisha yako kama hautatumia muda wako vizuri kujitafutia kipato.
Nyadikwa tukuvyale umele muyaweSafi sana,usisahau kuleta mrejesho baada ya mavuno mkuu matokeo yoyote yalete tujifunze, mimi N'yadikwa nakutakia kila la heri...tuleteege na feedback umewekeza kepito ya shingapi
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Location ni wapi mkuu na sisi tujeHabar wana Jf ok nilikuwa shamban hko hata network haipo vizur ,ok nimeona maoni yenu na maswali yenu pia yote ni mazur na yanalengo moja la kujikwamua kutoka point moja hadi nyingine ,Kiukwel changamoto ni zipo kwenye kilimo lakini changamoto hizo haziwez nifanya(kunifanya) nikate tamaa never ever maana mimi mpaka sasa hivi naona nimechelewa am 24yrs now with nothing than education that I graduated, kitu ambacho siwezi nkawa proud of , Sasa kama nimechelewa natakiwa kukimbia pale ambapo watu wengine wanatembea. Oh karibu sana huku ardhi ipo unakodi kwa bei ndogo tu yaani 30k up to 50k Kwa msim mashamba yapo. Huu nimwanzo tu sasa hivi naanda pia shamba la passion hekari moja naotesha miche kwenye viriba zen mwez wa 10 napanda na hii project itakuwa tayar ya watermelon .hekar moja ya passion will make me a millionaire baada ya miez 9 hadi 14 stay turned
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hata ifakara huku fulsa kma hizo zipo njoo fanya utafiti kidogo ukiona unaweza piga kazi ukitaka wenyeji nipo wala hakuna shidaLocation ni wapi mkuu na sisi tuje
Kweli alete mrejesho mwezi wa tisa unaelekea ukingoni sasa.Naamini mleta mada toka umeanza kulima matikiti mwezi July kwa sasa utakuwa unavuna au unakaribia kuvuna. Tunaomba mrejesho maana na sisi ndio tunaanza kupanda mbegu miezi hii ili tuvune mwezi December.
Ntaleta mrejesho mwezi wa tisa,
tutakianeni Khmer.
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Mkuu hongera sana. Hivi kwa makadirio eka moja inakuwa na miche mingapi na unaweza kutoa matikiti kiasi gani?Wadau habar, nina tikit-imaji ambazo zitakuwa tayar (1 acre) kuvunwa kwanzia wiki ya pili ya mwezi wa 10,naomba wadau wa masoko tafadhali.
Mzigo upo Vikindu. Mawasiliano 0714-087253 & 0784-429215 Karibuni Sana.
Hatuhitaji kujua soko lipoje, tunahitaji kujua mavuno yapo kiasi gani kwanza, je kafikia lengo, kavuka lengo au hajafikia lengo..!!!?Tatizo ni soko
Ahsantee! Nimepanda miche 1000.Mkuu hongera sana. Hivi kwa makadirio eka moja inakuwa na miche mingapi na unaweza kutoa matikiti kiasi gani?