Nimeamua kujitoa CHADEMA rasmi kutokana na Mdude, najuta kumchangia

Huna akili na wewe kenge nikuwa chadema

Samia alivomkejeli Lisu alivyopigwa risasi?

Yule uvccm m/wilaya Ubungo alivyotukana kuwa ukimpinga meko atazaa na mke WaPo je?
Kama hamwezi sasa nendeni mkauze ice cream.

lazima tuwapige spana mwanzo mwisho.
 
Huyu kijana kakosea sana yapaswa aombe msamaha kwa kutenda kosa lake.

Huyu Rais mama SSH hana maneno machafu kabisa kumtamkia maneno machafu ni kutomtendea haki.
Wewe umepigwa upofu... maccm wanaposema watawakata kata wapinzani na kuwatupa kule..
Wanapoua na kutishia haki ya kuishi mbona hatuwaoni wala kuwasikia mkikemea...
Huyo huyo SSH alinukuliwa akiwasifu walenga shabaha wa serikali ya ccm kuwa wapo vizuri kwenye majukumu ya kulenga na kuua!
 
Mama amekosea sana kumtoa huyu kijana.
 
Kwani mdude anatofauti gani na akina lusinde, lijualikali, msukuma na yule bwana aliyekua mbunge wa ulanga nadhani
Kwahiyo ndo unataka upinzani wafanane na maccm?
 
mama ni mama,akianza kuongea lugha za mwendazake kwa vitendo msijetafuta mchawi.

ndio maana sisi huwa tunawaita nyinyi ni wanafiki,maana ukweli ni kwamba hamjui kipi mnataka.

sasa hivi nina uhakika mama anajutia maamuzi ya kumwachia huyo pangahewa.
Wewe kwako msimamo ni kushikamana na mwanasiasa kwa lolote lile. Leo akisema maendeleo hayana chama, sawa, kesho ukisema mkichagua mpinzani sileti maendeleo, hewala!

Ndio maana uliweza kushikamana na Jiwe kikamilifu katika mikingamo yake yote hadi mwisho.
Watu wanaojitambua wanakuwa na wewe ukiongea na kufanya point. Ukizingua wanakupasha ukweli. Hawakushabikii. Huko ndio kujua unataka nini. Mama asitegemee kuungwa mkono akileta mambo ya mwendazake.
 
Miaka ya JPM uliteseka sawa. Vipi sasa hivi unaendeleaje na Mafanikio?
 
Wewe Una lako. Tangu lini Mdude akawa msemaji wa Cdm ?!.

kimsboy tunakujua kwa misimamo yako ya kiimani. Labda ndiyo maana ukajificha kwenye kivuli cha Mdude ambaye hana cheo chochote huko Cdm
 
Wewe Una lako. Tangu lini Mdude akawa msemaji wa Cdm ?!.

kimsboy tunakujua kwa misimamo yako ya kiimani. Labda ndiyo maana ukajificha kwenye kivuli cha Mdude ambaye hana cheo chochote huko Cdm
Misimamo yangu ya kiimani ina mahusiano gani na haya?
 
Zile ndoto zako za kuota umebeba maiti zilishapona??

Lini wewe uliwahi kuwa mwanachadema?? Uliacha kuondoka ccm wakati wanakata mapanga watu uje uondoke kwa sababu ya maneno tu ya Mdude mwenye stress za gereza?
 
Chama cha siasa kikishindwa uchaguzi mara 3 kinageuka kuwa cha kigaidi..

Ndiko hii saccos chadema inakoelekea
 
Kwahiyo ndo unataka upinzani wafanane na maccm?
Msitafute u MALAIKA kwa wapinzani. Tatizo ni katiba ya wananchi na Mama anaonekana kuufanyia kauzibe . Halafu wewe unadai abembelezwe !!. Vitu kama katiba, democracy, uhuru, haki nk hupiganiwa haviji kwa hisani ya mtawala
 
Huyu kijana kakosea sana yapaswa aombe msamaha kwa kutenda kosa lake.

Huyu Rais mama SSH hana maneno machafu kabisa kumtamkia maneno machafu ni kutomtendea haki.
Maneno machafu yakoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…