Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

Wewe ndio miongoni mwa wale wafuasi wa popoma, mnaolishwa pumba mnazifakamia wala hamna upeo wa kuchambua mambo kwa upana wake.
Naona unaona Wivu sana MImi GENTAMYCINE kuwa na Wafuasi ( Followers ) wengi hapa Jamiiforums na kuwa Maarufu.

Vipi nikuachie hii ID yangu ili nawe uupate Upako wangu wa Umaarufu utokanao na 'Natural Charm' yangu ili nawe uwe Talk of the Forum kama nilivyo?

Na kwa Tunu ( Shani ) niliyonayo baada ya Kubarikiwa na Mwenyezi Mungu naweza kukupa Wewe hii ID yangu na nikaanzisha nyingine na ndani ya muda mfupi tu ikawa Maarufu kama hii hadi Ukashangaa.

Namalizia na Swali Kwako hivi unaweza Kumchukia na Kutonikubali GENTAMYCINE hapa JamiiForums lakini bado tu 24/7 ukawa Unamfuatilia ama kwa Mada zake au Michango yake?

Mimi ni sawa na Tomato Sauce katika Chips Kuku na Mayai yake sawa? Nilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu kamwe nyie Wapumbavu na Mataahira kamwe hamjabarikiwa navyo ndiyo maana mnaona Najiamini halafu nina Jeuri vile vile huku Dharau kwa Watu wa Mfano wako hapa Kwangu yakiwa ndiyo Makao Makuu yake.
 
Duuh ngoja tuje wana simba, ila tukiachiwa timu hatuwez kuiendesha najua
Tutampa Mzee Bakhressa ( siyo Mwanae Yusuf wa Azam FC ) ambayo alikuwa na yupo tayari hata sasa Kuwekeza Simba SC kwa zaidi ya Tsh Bilioni 50.
 
Hilo lipo wazi mkuu kuwa jamaa ananufaika mno na hiyo timu.
 
Mimi nikionaga Uzi halafu nikaona mtunzi ni yeye hua naupotezea maana naona hamna cha maana anachoandika
 
Tuhuma za Rushwa zisizo na ushahidi. Unahitaji Reconcilliation ya akaunti kuthibitisha tuhuma.
 
Kama kweli Manzoki ata sign Simba Sc, basi sina deni na Mo hata akifanya kama anavyofanya GSM ya kuleta wafanyakazi wake poa tu. Ningekuwa na dada ningempa kama nyongeza
 
Kwa hiyo Manzoki hatokuwa sehemu ya kikosi cha Simba Sc msimu huu?
 
Kwa hizi ndonga zinazorushwa kwenye huu uzi kuna mtu anakula ban ni swala la muda tu, ngoja nikae niangalie huu mpambano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…