GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Naona unaona Wivu sana MImi GENTAMYCINE kuwa na Wafuasi ( Followers ) wengi hapa Jamiiforums na kuwa Maarufu.Wewe ndio miongoni mwa wale wafuasi wa popoma, mnaolishwa pumba mnazifakamia wala hamna upeo wa kuchambua mambo kwa upana wake.
Vipi nikuachie hii ID yangu ili nawe uupate Upako wangu wa Umaarufu utokanao na 'Natural Charm' yangu ili nawe uwe Talk of the Forum kama nilivyo?
Na kwa Tunu ( Shani ) niliyonayo baada ya Kubarikiwa na Mwenyezi Mungu naweza kukupa Wewe hii ID yangu na nikaanzisha nyingine na ndani ya muda mfupi tu ikawa Maarufu kama hii hadi Ukashangaa.
Namalizia na Swali Kwako hivi unaweza Kumchukia na Kutonikubali GENTAMYCINE hapa JamiiForums lakini bado tu 24/7 ukawa Unamfuatilia ama kwa Mada zake au Michango yake?
Mimi ni sawa na Tomato Sauce katika Chips Kuku na Mayai yake sawa? Nilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu kamwe nyie Wapumbavu na Mataahira kamwe hamjabarikiwa navyo ndiyo maana mnaona Najiamini halafu nina Jeuri vile vile huku Dharau kwa Watu wa Mfano wako hapa Kwangu yakiwa ndiyo Makao Makuu yake.