Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

Leonce jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2023
Posts
1,815
Reaction score
2,651
Habari.

Moja kwa moja kwenye mada

Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.

Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote

Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.

Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena

Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio

Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again

Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.
 
Umefanya uamuzi sahihi... Hongera mbwa wewe hukujidanganya kuoa... Hongera zako umefunguka akili mapema...
Kataa Ndoa uishi kwa amani uimarike kiuchumi... Ndoa ni mauzauza ushetani umasikini upuuzi ushamba na utoto...
Enjoy maisha yako, zalisha tu mzee baba wanawake wapo wengi ila sio wakuweka ndani...
Sasa ulivyo mpuuzi rogwa jichanganye uoe au umrudie huyu kiumbe dhaifu ndio utajua shetani na mwanamke ni baba mmoja mama mmoja
 
Ukimuona mwanaume amemblock mwanamke wake, basi dhahiri mwanaume huyo bado anaupendo mkubwa sana kwa mwanamke yule.
Na utakuta akili inamkataa lakini moyoni bado amejaa....😜
Mimi sina ka kukushauri mkuu, maana historia inaonyesha kitambo sana sasa mnakua on and off
 
Mapenzi yanauma kichizi hichi kikombe omba kikuepuke au uki experience mapema maana sio mchezo kama utachelewa .roho inauma unaweza pata hata shinikizo la damu na kama Hujawah experience heartbreak basi usitukane mamba kama mimi nilivyo kuwa nikifanya


Nikikumbuka my teenage old days nacheka kwakweli
 
Mbona unalilia sana mkuu, anyway pole vidume tunajikaza hatuliilii hovyo.
Wengine tushaumizwa moyo umekuwa na ganzi, unaempenda wewe kapenda na mwingine, mwingine nae kapendwa na mwingine, huyo mwingine nae ana mwingine moyo sukuma damu so mashine.
 
Umefanya la maana sana. Hao jamaa ni majambazi wenye magwanda, angeweza hata kukusukia mpango uibiwe.

Halafu huko madepo wanatafunwa kama muwa. Ni mwendo wa kuhamishwa toka afande mmoja kwenda kwa mwingine.
ARV zenyewe za tabu sasa hivi
 
Vumilia siku tano tu, atakuwa na Bwana mpya
 
Mkuu ni maamuzi nimeamua lkn roho yangu inaniuma kumuacha huyu kama sijawai kuwa na madem wengine vile
 
Mkuu sitakuja ku msahau kabisa kamwe atabaki kuwa role model kwa wote watakao fuata na hakuna atakae kuja kumfunika.

Lkn wacha ni move on maisha mengne yaendelee. Hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…