Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana kama ninyi ndyo tunawataka kwenye majukumu yetu ya kula uku tumefumba macho safi sana hakika angekupa maumivu maan kwanz angetumia lugha ngumuHabari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote
Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.
Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena
Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.
Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM
Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia
Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x
Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k
Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again
Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.
Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi
Mkuu siwapendi sababu niliona ni watu wasio na akili ilikua hivi baba angu ni mtu wa kijijin alimsomesha mpaka anapata u police yeye katokea home mzee alikua ni kiongozi sehem x alitoa boko badala ammwambie kinachoendelea alikaa kimya et uzalendo mpaka baba akalala lock upSasa si ungemwambia yeye mwenyewe hayo mapungufu yake? 😀
Polisi huwapendi au una waogopa
Sio vijana tuuh usipo angalia hata Mzee asinge chukua hatua ya kukaza moyo Kwa mamayako huenda ungezaliwa Kwa mama wakamboMapenzi yanawatesa sana vijana wa kitanzania,
Ebu focus kwenye mambo yako ya msingi, lakn kikubwa zaidi kata naye mawasiliano na usimchukie, msamehe kwa mabaya aliyokutendea, mfichie madhaifu yake!
Kwa kufanya hayo utakuwa umemnyima shetani nafasi ya kukuendesha na utakuwa umempa MUNGU nafasi ya kukuletea MKE BORA!
Relux, HUWEZI JUA MUNGU KAKUEPUSHA NA NINI!
Mwenyewe ni mtumishi wa umma japo sio mkongwe na ni daraja dg bado lkn nipo vizur kwenye financial management najua pesa yangu izae vip lkn yeye imagine kabati la lak 4 kitanda 700k kama msanii na hapo anaoshi kotaUloposema tu kawa polisi basi hapo penzi ni kwishney.
Me akiwa poti ni sawa kua na Ke yeyote ila Ke akiwa poti acha aolewe na poti mwenzie.
Tayari dunia ilishambadilisha na sio yule wa shule.
Matumizi mabovu ni kawaida ya watumishi wengi wa serikali.
Kula buyu endelea na maisha yako, hujamuoa kwahiyo usihofie chochote. Muache ile style ya kimya kimya na hivi mpo mbali ni rahisi.Asante mkuu wacha niangalie mbele japo najua anaweza kunipata kazini kwangu naogopa ku mchana makavu naona ataona kama nimepata mwingine
Sio vijana tuuh usipo angalia hata Mzee wako asinge chukua hatua ya kukaza moyo Kwa mamayako huenda ungezaliwa Kwa mama wakamboMapenzi yanawatesa sana vijana wa kitanzania,
Ebu focus kwenye mambo yako ya msingi, lakn kikubwa zaidi kata naye mawasiliano na usimchukie, msamehe kwa mabaya aliyokutendea, mfichie madhaifu yake!
Kwa kufanya hayo utakuwa umemnyima shetani nafasi ya kukuendesha na utakuwa umempa MUNGU nafasi ya kukuletea MKE BORA!
Relux, HUWEZI JUA MUNGU KAKUEPUSHA NA NINI!
Ndio kwa muda huu bado sijamwacha akifika home au getho lkn huko alipo sitamtafuta kwa miez mingi mfululizo na mimi sio mtu wa social network ni JF NA X basi kote hamna picha zangu insta fb na kwingine sio mpenzi ko hataona update yetoteKama roho inakuuma hujamuqcha huyo mwanamke. Ovaa
Ni swala la muda tu 🤣utakamatikaMbona unalilia sana mkuu, anyway pole vidume tunajikaza hatuliilii hovyo.
Wengine tushaumizwa moyo umekuwa na ganzi, unaempenda wewe kapenda na mwingine, mwingine nae kapendwa na mwingine, huyo mwingine nae ana mwingine moyo sukuma damu so mashine.
LeonceJina lipi tena mkuu