M45
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 1,110
- 1,462
Ndiyo maana ndoa hazina thamani tena.Kukishakuwa na SoulBond hakuna wa kuwatenganisha. Ogopa sana Kiumbe kinachoitwa Mwanamke. Mimi Nina mchepuko mwaka wa 5 huu ameolewa na kati ya watoto wake watatu mmoja ni Wangu Hilo Halina Ubishi. Alivyojifungua ikapita miezi 6 alisafiri kunifwata Dar--Mbeya eti kaniletea zawadi ya mtoto Wangu na Ukimcheki dogo Leo Ni Copy Yangu. Ogopa sana Mwanamke akipenda