Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

Muda mzuri wa kubadili tabia ni Sasa ukiwa kijana mdogo wangu ,ikiwa roho na nafsi yako vinakusuta basi ni wakati sahihi wa wewe kubadilika na kubali na mkeo wa maisha .
Achana na Mambo ya kuchepuka maana huna Jambo unaloingiza la faida zaidi ya kujitengenezea future mbaya na kuishi bila amani .
Rudi kwa huyo dada ,anza upya na mueleze ukweli anza mwanzo mpya ,maisha ni maamuzi ,amua leo
Wazo zuli mkuu ntalifanyia kazi kma itanibidi kama nitashindwa kabisa bila yeye maana huwa alikua ananishauri vitu vingi jambo kubwa ni kumtegemea Muumba wetu siku za ujana wangu

Maana anajua kazi ninayo ifanya changamoto zake
 
Sawa ,itoshe kusema huyo ndiyo wako ,Rudi nyuma wanawake wa hivyo hawapo kwasasa
 
ACHA NA MIMI NICHANGIE LAKINI SIO LA UMUHIMU ILA NIMEIPENDA SANA HII MOVIE
 
Bado hujamuacha, siku ukimuacha hautakuwa na muda wa kutuletea habari. Kama utabahatika kumuacha basi panapo majaaliwa utuletee storee refer Patrick wa Gilesi
 
Mkuu siwapendi sababu niliona ni watu wasio na akili ilikua hivi baba angu ni mtu wa kijijin alimsomesha mpaka anapata u police yeye katokea home mzee alikua ni kiongozi sehem x alitoa boko badala ammwambie kinachoendelea alikaa kimya et uzalendo mpaka baba akalala lock up

Huku akisema alijua ata solve hio issue mwenyewe nilimchukia toka siku io
Duh
Binadamu sisi ni Habari nyingine. Usikute alitaka sifa za kijinga kuwa huyu alikomaa na siri mpaka baba yake tulimfunga
 
Duh
Binadamu sisi ni Habari nyingine. Usikute alitaka sifa za kijinga kuwa huyu alikomaa na siri mpaka baba yake tulimfunga
Ndio hivyo mkuu sasa ni watu wa namna gani!! Niliuliza na jamaa wengi walisema kuwa ndivyo walivyo kuna jamaa anadai wamesomaa wote jamaa alikua na kosa dg la ulevi mchana akamkamata na kumsweka ndan kama hamjui yule. Jamaa hajawai kumsamehe hata alipo ludi kuomba msamaha aliuliza kama ningeiba jamaa anganipiga shaba huyu
 
Back
Top Bottom